Tony-stark
JF-Expert Member
- Jul 20, 2019
- 1,020
- 1,334
Mkate shingo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwema mkuu, za masiku....We jamaa kwema?
Salama ulipotea kiongozi.Kwema mkuu, za masiku....
Umesema umemnunua kwa ajili ya kitoweo na siyo wa kufuga, mchinje hifadhi kwenye friji hadi siku utakapotaka kumlaLeo nimenunua kuku (jogoo) kwa ajili ya kitoweo cha kesho lakini tangu nimemfikisha nyumbani anawika sana. Yaani japo nimemfunga lakini anawika mfululizo kama kuna mashindano.
Hii siyo kawaida kabisa, maana nimenunua mamia ya kuku kwa kitoweo ila hawakuwa kama huyu wa leo. Yaani sijui anawaza amekuja kustarehe hapa kwangu? Inaonyesha ni kiasi gani ana dharau sana huyu kuku, yaani anawika nyumbani kwangu!
Nimfanyaje anyamaze hadi kesho siku ambayo nitamchinja?
Nimechoka makelele...
Kweli aisee, maisha yanatupeleka puta sana kiasi spidi imepungua.Salama ulipotea kiongozi.
anawika sauti yake yooote iishe ili asife na sauti yakeLeo nimenunua kuku (jogoo) kwa ajili ya kitoweo cha kesho lakini tangu nimemfikisha nyumbani anawika sana. Yaani japo nimemfunga lakini anawika mfululizo kama kuna mashindano.
Hii siyo kawaida kabisa, maana nimenunua mamia ya kuku kwa kitoweo ila hawakuwa kama huyu wa leo. Yaani sijui anawaza amekuja kustarehe hapa kwangu? Inaonyesha ni kiasi gani ana dharau sana huyu kuku, yaani anawika nyumbani kwangu!
Nimfanyaje anyamaze hadi kesho siku ambayo nitamchinja?
Nimechoka makelele...
mkuu vipi hukumtengenezea dawa. Ilikuwa lazima nimuuze kwakuwa hata huku bandani alisumbua sana.. Hakuisha ubakaji na hakuchagua wa kubakaView attachment 1406909View attachment 1406910
Jr[emoji769]