Niamini MimiJoh ni hatari nilianza kumuelewa kitambo mstari unaonikosha kwake ni "Inahitajika machale na umakini usilale ili wale wasikuvishe ujinga wakutawale..huu mstari unanifanya niishi kimagutu simuamin mtu yeyote hata kidogo asije nijaza ujinga bure nikaharibikiwa.
Ugumu umemmaliza 20 %, Fid Q nae amepotea, limebaki jina!Hili funzo kwa marapa, sio kila siku kurap huku umekaza sura inabidi wabadilike, we mtizame Casper nyovest ana nyimbo yake verse mbili zote kaimba kawashirikisha mahotela queen nyimbo inaitwa Malone ni bonge la ngoma. Kubadilika kidogo sio dhambi hata hao akina schoolboy q (studio), j Cole (apparently) wameimba. Joh yupo vizuri sana.
...yani umemuona Joh kwa SIKU 2 umehitimisha lifestyle yake SIFURI!Life style yake binafsi behind the scenes sifuri kabisa. Hip Hop ni muziki wa kiharakati you must live it. Kwa kiasi fulani ni kama reggae.
I saw him last year na kampani yake sehemu for two days, inabidi abadilike otherwise muziki wake ni conscious
Unataka awe akina nanii daily kwy media?? Huyu hustler wa ukweli wa kimya kimya hana mambo ya kijinga!masidis in the house.Life style yake binafsi behind the scenes sifuri kabisa. Hip Hop ni muziki wa kiharakati you must live it. Kwa kiasi fulani ni kama reggae.
I saw him last year na kampani yake sehemu for two days, inabidi abadilike otherwise muziki wake ni conscious
kwa muda mrefu nimekua nikijitahidi kukukwepa kujifanya sikusikii as if mziki wako sio mzuri lakini kwenye vikona nikisikia nabana kusikiliza kidogo then najipa moyo kwamba huu nao mbaya yaani kama ule wa Huseini machozi UTAIPENDA mshikaji kazuga lakini akiwa mwenyewe anasikiliza hahahah Da noma sana na kwenye utaipenda ile ftering ndipo nilipoanza kukuelewa but still nikawa mbishi kwamba bado unaotea ukanitolea XO nikaipotezea, sijakaa vizuri ukaja na NUSUNUSU, nayo nikaipoteza ukaja na DONT BOTHER nikatega sikio kiaina bado nikakaza moyo ukanimaliza na NJE YA BOX sasa na hii ya COMBO aiiiiiiii brother nimenyoosha mikono we ni shida Hongera sana uko vizuri aiseee we ni shiiida
kama huajaelewa basi fanya mambo mengine!Huo uzuri unaosema mbona sijauona! Sijaelewa ata kaimba nini