Joh Makini brother umeshinda wewe, nimenyoosha mikono

mi naona Weusi , navy kenzo & vanessa , jux , ben Paul kwasasa ndo wanatoa upinzani mzuri kwa wasafi kwa sekta ya video nzuri na midundo ya mziki , huyo kiba tumtoe kwenye ushindani
 
'GoodMusic Family' Navy Kenzo Weusi Jux X Vanessa
Vs
'WCB Wasafi' Harmonize Chibu Dangote , Rich Mavoko , RayVanny
 
Kampani yake ikoje jombaa tufafanulie
 
Huyo mtoto chindinma ni hatari sana nilimuona kwenye wimbo wa Mr.flavour alivuruga mbaya
 
Joh Makini ananikosha sana kwa ngoma anazotoa,nimeupenda huu wimbo kiukweli.
 
Nimependa mtiririko wake wa mashairi na ladha iliyochangamana na mapigo murua kabisa.
Video imetulia nayo.
 
Joh Makini anakwambia yy ndio the most expensive rapper in East Africa. anasema anaingiza pesa nyingi kwenye shows na anafanya show's nyingi sana.
Source Planet Bongo. EA radio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…