Joh Makini brother umeshinda wewe, nimenyoosha mikono

Joh Makini brother umeshinda wewe, nimenyoosha mikono

mi naona Weusi , navy kenzo & vanessa , jux , ben Paul kwasasa ndo wanatoa upinzani mzuri kwa wasafi kwa sekta ya video nzuri na midundo ya mziki , huyo kiba tumtoe kwenye ushindani
 
'GoodMusic Family' Navy Kenzo Weusi Jux X Vanessa
Vs
'WCB Wasafi' Harmonize Chibu Dangote , Rich Mavoko , RayVanny
 
Life style yake binafsi behind the scenes sifuri kabisa. Hip Hop ni muziki wa kiharakati you must live it. Kwa kiasi fulani ni kama reggae.

I saw him last year na kampani yake sehemu for two days, inabidi abadilike otherwise muziki wake ni conscious
Kampani yake ikoje jombaa tufafanulie
 
Huyo mtoto chindinma ni hatari sana nilimuona kwenye wimbo wa Mr.flavour alivuruga mbaya
 
Joh Makini ananikosha sana kwa ngoma anazotoa,nimeupenda huu wimbo kiukweli.
 
Nimependa mtiririko wake wa mashairi na ladha iliyochangamana na mapigo murua kabisa.
Video imetulia nayo.
 
Joh Makini anakwambia yy ndio the most expensive rapper in East Africa. anasema anaingiza pesa nyingi kwenye shows na anafanya show's nyingi sana.
Source Planet Bongo. EA radio
 
Back
Top Bottom