Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
....hahaha...Joh amebarikiwa sana kuwa emcee toka Arusha sounds better!
..probably(kwenye hiyo hoja ya emceez 'uchwara)Nah man. Arusha imekuwa ikisifika, ila inatoa emcees wengi uchwara. Kina JCB, Chindo, Lord Eyes, na wengine kibao ni wa kawaida sana kama sio ovyo kiasi.
Currently, Joh ndiye only "word 4 word" conscious emcee we have. Nikki na Stopper wanajaribu pia.
Ngoma imesimama,kiukweli ndio ngoma yangu kali kwa mwaka huu kwenye hip hop bongoJohn makini ana uwezo mkubwa lakini huu wimbo si mzuri wala video
Inaitwa hip hop mtelezo!Game inabadilika,hip hop ngumu kama ya akina Fid Q hutoboi,utawapata masela wachache!Msikilize hata Bill Nas,naye anarap kama anaimba!hivi joh anaimba hip hop?
Chidnma huwa anaimba,sio rapa!Angalia ngoma aliyoshirikishwa na Mr flavour na nyingine kibao!me cjaona uzuri wa wimbo toka majuzi nimejaribu kuusikiliza mara kwa mara ila sijaupenda labda yule chindimna angerap km anavyofanyaga may be ingeleta ladha
..probably(kwenye hiyo hoja ya emceez 'uchwara)
..ila point yangu Arusha(watu na mazingira) ndio imemkuza Joh kuwa Joh 'Makini!'
..kwangu,Arusha ALWAYS comes first!
...hiyo PIA uliyotumia imewasilisha vyema point yangu:Arusha comes first!Arusha, pia ye mwenyewe. Ndio maana nimekutajia rappers/emcees wengine waliokuzwa Arusha, ila bado hawana "umakini" katika tungo zao. Watu wengi wanamchukulia Joh poa poa tu, ila yule jamaa ni mtu mwingine kabisa juu ya track.
ndo wimbo pekee wa unaojua wa Chidinma alianza mziki toka 2008 ok ngoja nikuongezee wimbo mwingine kausikilize wimbo wke unaitwa emi ni baller ndipo utajua ana rap pia ukimaliza huo rudi nikuongezee nyimbo zingne alizo rap km jankolikoChidnma huwa anaimba,sio rapa!Angalia ngoma aliyoshirikishwa na Mr flavour na nyingine kibao!
Unajua Diamond alikuwa Rapa?Nyimbo zilizomtambulisha diamond mpaka Leo unamjua sio hip hop!Chidinma ametambulika kwa kuimba na sio kurap!Angalia coke studio Africa pia,nyimbo zote Joh Makin na Chidinma wamefanya vizuri,Makini akirap huku Chidinma akiimba!ndo wimbo pekee wa unaojua wa Chidinma alianza mziki toka 2008 ok ngoja nikuongezee wimbo mwingine kausikilize wimbo wke unaitwa emi ni baller ndipo utajua ana rap pia ukimaliza huo rudi nikuongezee nyimbo zingne alizo rap km jankoliko
tofauti yetu n hapo ww umemjulia kwny coke studio me nimemfahamu way back n sio ameacha kurap km huo wimbo emi n beller n wa 2014 n alitoa baada n kuhit n ngoma km oh baby ambao hata tz ulikuwa km wimbo wa taifa na ndo maana kuhusu huu wimbo wa joh nikasema ningependa km chindinma ange rap kitu ambacho ww ukuwa una jua km ana rapUnajua Diamond alikuwa Rapa?Nyimbo zilizomtambulisha diamond mpaka Leo unamjua sio hip hop!Chidinma ametambulika kwa kuimba na sio kurap!Angalia coke studio Africa pia,nyimbo zote Joh Makin na Chidinma wamefanya vizuri,Makini akirap huku Chidinma akiimba!
Duuuh hata kama nikimsikia anarap sitajua kama ni yeye!Nina fahamu nyimbo zake kama 7 hivi ambazo ameimba ila za kurap sijui hata moja!tofauti yetu n hapo ww umemjulia kwny coke studio me nimemfahamu way back n sio ameacha kurap km huo wimbo emi n beller n wa 2014 n alitoa baada n kuhit n ngoma km oh baby ambao hata tz ulikuwa km wimbo wa taifa na ndo maana kuhusu huu wimbo wa joh nikasema ningependa km chindinma ange rap kitu ambacho ww ukuwa una jua km ana rap