Joh Makini: Weusi tumeacha ushamba

Joh Makini: Weusi tumeacha ushamba

Waache pia ushamba wa kutumia lugha wasizozielewa vyema, sana sana Joh Makini mwenyewe. 'I'ma gonna holla atcha' still haunts me to-date.
 
Nimemuelewa sana Mwamba wa kaskazini ulio imara kazini Joh Makini...Nasubiri watoe album nikawasapoti kwa kununua
wameinama wameinuka wanaona haya yote wametaka wao
Haka kaCD sijui nilitupa wapi wameweza kumaintain kwenye game
 
Nawaelewa sana Weusi, kundi langu all the time, nyimbo zao naweza kusikiza na bebi pembeni
 
Yaani umenena wanavyopapenda Dar, kila kijana akivunja ungo anawaza Dar tu, yaani wanapaona kama New York vile .Hata waliovyuoni wao wanawaza kuajiriwa Dar tu ilimradi wawaringishie wenzao wa kijenge kwamba wanaishi Dar
Hahaha. ...hata mabasi ya kwenda dar toka arusha ni mazuri kuliko ya kutoka dar kwenda arusha.
 
Kama hujazaliwa pwani lazma utakua na kaushamba flani hivi sugu hakafutiki......Pwani pwani tu no matter what wa bara wengi ni washamba washamba.......Si unawaona wakina DB na dingi ake, mpendwa wetu halafu mcheki Mama yetu msaidizi wa mpendwa kutoka kwa Sultan utaona utofauti mkubwa sana....
 
Ila wote waliozaliwa Dar wanaishi mabondeni
Sisi wahamiaji ndio twaishi maeneo mazuri
Hahaha hawa jamaa wananifurahisha sana. Maeneo yote ya kishua wamechukua wageni halafu bado wanaamini wao ndio wajanja..
 
Naliamshaaa dude[emoji445] [emoji445] laza chaga mama...goma kali hatarii
 
Back
Top Bottom