juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
Huyo jamaa mbona bado mshamba sana tu? We mtu gani anamuiga Jay z kurap,anaiga hadi kuongea ,fuatilia interview za Jigga na za huyo Joh ..huo nao ni ushamba tena uliopindukia,anatamani angekuwa yeye ni Jigga,washamba tu