Joh Makini: Weusi tumeacha ushamba

Huyo jamaa mbona bado mshamba sana tu? We mtu gani anamuiga Jay z kurap,anaiga hadi kuongea ,fuatilia interview za Jigga na za huyo Joh ..huo nao ni ushamba tena uliopindukia,anatamani angekuwa yeye ni Jigga,washamba tu
 
Huyo joh makini, mbona suruali yake imechanika na kuchakaa kuliko kiwango cha kawaida....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…