Haya bwana, hata kule Lindi kuna timu inaitwa Manchester United !![h=2]Johannesburg mnazalilisha wateja kwa kudai risiti za TRA?????[/h]
Johannesburg mnazalilisha wateja kwa kudai risiti za TRA?????
Hiyo title yako imeandikwa Johannesburg, na si Johannesburg Hotel.Jabulani sijakuelewa!!!!
Preta,basi wangekuwa wastaarabu sio kutudhalilisha vile jamani,risiti si haki yetu au?
Hatukulewa sana tena ni mimi na shemeji ndo tulokua tunakunywa bia mdogo wangu wala alikua hanywi kilevi!
Hii imekaajae tumekaa pale Johannesburg hotel Sinza,tumekula tumekunywa baadae tunaletewa bill iloandikwa kwa mkono then tukaomba ile ya TRA,kilichotupata baada ya hapo ni kuitwa wahuni na meneja kutaka kupigana na sisi na kutuita wahuni wa Tandale na kutuitia walinzi na kututoa nje kama vibaka??kuna kosa lolote kudemand risiti ya halali??
Hatukulewa sana tena ni mimi na shemeji ndo tulokua tunakunywa bia mdogo wangu wala alikua hanywi kilevi!
Asante kwa ushauri!ila inauma mtu unadai kitu halali yako matokeo unadhalilishwa kama kibaka!!!!!!Tanganyika is a semi-anarchy state, unapokua sehemu yoyote zingatia hili. Siku moja usije kutolewa roho kwa mambo ya kijinga kabisa watoto wako wakabaki yatima. Huu ni ushauri tu/
Tanganyika is a semi-anarchy state, unapokua sehemu yoyote zingatia hili. Siku moja usije kutolewa roho kwa mambo ya kijinga kabisa watoto wako wakabaki yatima. Huu ni ushauri tu/