Sware
Member
- Dec 12, 2010
- 88
- 11
Hii imekaajae tumekaa pale Johannesburg hotel Sinza,tumekula tumekunywa baadae tunaletewa bill iloandikwa kwa mkono then tukaomba ile ya TRA,kilichotupata baada ya hapo ni kuitwa wahuni na meneja kutaka kupigana na sisi na kutuita wahuni wa Tandale na kutuitia walinzi na kututoa nje kama vibaka??kuna kosa lolote kudemand risiti ya halali??