Johannesburg hotel Sinza mnazalilisha wateja kwa kudai risiti za TRA?????

Sware

Member
Joined
Dec 12, 2010
Posts
88
Reaction score
11
Hii imekaajae tumekaa pale Johannesburg hotel Sinza,tumekula tumekunywa baadae tunaletewa bill iloandikwa kwa mkono then tukaomba ile ya TRA,kilichotupata baada ya hapo ni kuitwa wahuni na meneja kutaka kupigana na sisi na kutuita wahuni wa Tandale na kutuitia walinzi na kututoa nje kama vibaka??kuna kosa lolote kudemand risiti ya halali??
 
Nimekupata sorry nna hasira sana na hii hotelkwa kweli!HiyoMan U ya huko Lindi kuna Rooney pia au? ila naomba unambiekuna kosa kudai risiti ya halali?
 
kwa nini nyie mdai risiti ya tra......mlidhani wao watakula wapi na jana ilikuwa pasaka......?
 
Preta,basi wangekuwa wastaarabu sio kutudhalilisha vile jamani,risiti si haki yetu au?
 
basi siku nyingine msilewe.....inaelekea mlilewa sana wakaona nyie ndio wa kuwatoa kafara.........
 
Hatukulewa sana tena ni mimi na shemeji ndo tulokua tunakunywa bia mdogo wangu wala alikua hanywi kilevi!
 
ayaaaaa......kwa hiyo wewe na shemeji yako mkashikwa shati kaptula.......mkatupwa nje....?...baa haina adabu hiyo.......msiende tena hapo.......
 
Pombe noma!hapa sijui tumwamini meneja au tumwamini huyu aliyekuwa amelewa.
Hii imekaajae tumekaa pale Johannesburg hotel Sinza,tumekula tumekunywa baadae tunaletewa bill iloandikwa kwa mkono then tukaomba ile ya TRA,kilichotupata baada ya hapo ni kuitwa wahuni na meneja kutaka kupigana na sisi na kutuita wahuni wa Tandale na kutuitia walinzi na kututoa nje kama vibaka??kuna kosa lolote kudemand risiti ya halali??
 
Hatukulewa sana tena ni mimi na shemeji ndo tulokua tunakunywa bia mdogo wangu wala alikua hanywi kilevi!

Umekunywa Eagle/Senator 2 unataka risit!!!
 
Tanganyika is a semi-anarchy state, unapokua sehemu yoyote zingatia hili. Siku moja usije kutolewa roho kwa mambo ya kijinga kabisa watoto wako wakabaki yatima. Huu ni ushauri tu/
 
Ndo vinywaji gani hivyo?tulikula na kunywa na bill kubwa ilikua kwenye chakula,au risiti hatutakiwi kupewa?
 
Tanganyika is a semi-anarchy state, unapokua sehemu yoyote zingatia hili. Siku moja usije kutolewa roho kwa mambo ya kijinga kabisa watoto wako wakabaki yatima. Huu ni ushauri tu/
Asante kwa ushauri!ila inauma mtu unadai kitu halali yako matokeo unadhalilishwa kama kibaka!!!!!!
 
Pale kwa shigongo napafahamu sana...possibly mulikuwa mukishushia muziki wa bend yao pale...nijuavyo mie hotel kama ya shigongo kutokuwa na risit halali ya tra ni kosa la jinai...kama mama lishe na vibaa vya uswazi wanatoa risiti halali itakuwa kwa shigongo wanapouza chumba si chini ya tsh elfu hamsini na wana vyumba zaidi ya 30 ikimaanisha wanaingiza 1.5m a day na 45m a month....hapo kuna kitu tuuuu...mwiteni shigongo aelezee kwa kina juu ya haya tunayojadiliana hapa na pia akuombe radhi na awaandikie tra kuwa keshamtimua meneja wake asiyetaka kutii sheria za nchii hii.
 
Back
Top Bottom