Anauza heading, hiyo siyo hard newz.Binamu hebu rekebishaa hii style ya uandishi wako...
Anauza heading, hiyo siyo hard newz.
Y hard price ...
Binamu hebu rekebishaa hii style ya uandishi wako...
Yeah sometimes inabidi kusamehe na kusahau yaliyopita...in fact rj company wanapiga kazi pia wana production ya ukweli next level ambayo hakuna msanii wa bongo movies aliye nayo..kma unataka kuhakikisha chek movies zao utaniambia mfano fan's death,waves of sorrows,bad luck na mzigo unaotikisa town wa hard price alongside jaquiline wolper na sabby angel...
Billionaire mzima wewe.........
Ghosts za JF zitakusumbuwa bure.....
Kuwa na Gadgets nyingi kuna shida yake you never know who is who and which is which.
Eeeh gharama ngumu, chezea kiingerezaaa
Gadgets zangu ziko free sana to be used expect only this id I keep it for my self.hahahaaaaaa I will never know who is who till they merge things......
ila we mambo yako bana hivi ile ishu ya yule dogo iliishia wapi!
Eeeh gharama ngumu, chezea kiingerezaaa
Ila Johari na Ray wangeoana tu maana wametoka mbali hata katika uigizaji