Johari: Bado nipo RJ Company na sio Ray

Johari: Bado nipo RJ Company na sio Ray

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Bosslady wa kampuni ya RJ na muigizaji kutoka Bongo movie, Blandina Chagula amefunguka kuhusu mahusiano yake na partner wake wa long time , Ray Kigosi na kusema yupo na RJ company na sio Ray. Katika kuonyesha wapo kikazi zaidi , ivi karibun ame post picha inayohamasisha watu kumpigia kura partner wake huyo ili anyakue tunzo ya director bora wa mwaka.

Wawili hao ambao waliwahi kuwa wapenzi apo awali na kutengana ivi karibuni , haijafanya wachukiane na kutofanya kazi pamoja.

attachment.php
 
Yeah sometimes inabidi kusamehe na kusahau yaliyopita...in fact rj company wanapiga kazi pia wana production ya ukweli next level ambayo hakuna msanii wa bongo movies aliye nayo..kma unataka kuhakikisha chek movies zao utaniambia mfano fan's death,waves of sorrows,bad luck na mzigo unaotikisa town wa hard price alongside jaquiline wolper na sabby angel...
 
Binamu hebu rekebishaa hii style ya uandishi wako...

Aaah, hii ni technique ya uandushi ya catch peoples attention, na inatumiwa karibia na waandishi wote ulimwenguni, najua nakukera binamu, tuvumiliane , Mimi pia binadamu, siwezi kufuraisha watu mda wote , sometimes nabug na mnavyoniambia kama ivi I know what my people's want, then I won't do it , for the sake of my people.
Habar za jioni
 
Yeah sometimes inabidi kusamehe na kusahau yaliyopita...in fact rj company wanapiga kazi pia wana production ya ukweli next level ambayo hakuna msanii wa bongo movies aliye nayo..kma unataka kuhakikisha chek movies zao utaniambia mfano fan's death,waves of sorrows,bad luck na mzigo unaotikisa town wa hard price alongside jaquiline wolper na sabby angel...

Facts bro, no one like RJ company , hanaga mpinzani
 
Yaaaap ni kweli kabisa rj wanajitahidi kufanya kitu kizuri sana na saa hv wameibua vipaji vipya katika filamu kuanzia kwenye movies za bad luck-salha israel,fans death najma dattan,hard price-sabby angel na sasa mzigo mpya utakaotikisa soko wa v.i.p duet na hamisa mobeto na jaquilyn wolper...kiukweli wanastahili tuzo coz wako serious na kazi...myonge mnyongeni lakini haki yake mpeni
 
Ghosts za JF zitakusumbuwa bure.....

Kuwa na Gadgets nyingi kuna shida yake you never know who is who and which is which.

hahahaaaaaa I will never know who is who till they merge things......

ila we mambo yako bana hivi ile ishu ya yule dogo iliishia wapi!
 
Ila Johari na Ray wangeoana tu maana wametoka mbali hata katika uigizaji
 
Pia baada ya kufariki the great kanumba ray amekosa mtu wa kufanya challenge nae coz kwenye swala la investment in movies kwa sasa hakuna anaeshindana au kuwafikia rj company tofauti na alipokua kanumba...ushindan umekufa saa hv coz watu wanafanya movies kimazoea bila kuweka target kabisa lakin rj wanafanya vizuri...ukitaka kujua ukweli wa haya fanya uchunguzi then utapata ukweli...kiukweli nafananisha ushindan wa kanumba na ray kma wa john dumelo na van vicker au majid michael wa ghallywood...walikua zaid ya ndugu...r.i.p kanumba..
 
hahahaaaaaa I will never know who is who till they merge things......

ila we mambo yako bana hivi ile ishu ya yule dogo iliishia wapi!
Gadgets zangu ziko free sana to be used expect only this id I keep it for my self.

Mods kuna kitu mpaka kesho bado hawakielewi kuhusu id's.
 
Ila Johari na Ray wangeoana tu maana wametoka mbali hata katika uigizaji

Yah I feel the same here, huyo mwingine Sijui chura arudi kwa mumewe bna , kwanza couple hata ainogi, na anavyojitahid kujipendekeza eti amefungua kampuni hewa kaiita chura entertainment, pole sana ,RJ miaka miaaaa, jina likibadilika team johari tunawasha motooo
 
Lakini ukiitazama movie yenyewe ina uhusiano na jina lake na kweli amefanya mapinduzi makubwa tofaut na msanii mwingine yeyote...mzigo umetulia sanaa...
 
Back
Top Bottom