Johari hongera kwa kupata bwana wa Kizungu

Johari hongera kwa kupata bwana wa Kizungu

Mwanamama anaingia katika bucha , muda mfupi kabla ya kufungwa bucha na anamuuliza muuza nyama:
"Una kuku?
Muuza bucha anafungua friji yake na kumtoa kuku mmoja tu aliyebaki hakukua na kuku mwingine zaidi ya huyo kuku.
Akamuweka kwenye mzani kumpima ikaonekana huyo kuku ana kilo moja unusu.
Yule mama akauliza tena
"... je hauna kuku mkubwa zaidi ya huyu tafadhali...?
Ujanja wa kibiashara na tamaa ukamuingia muuza kuku,
Akajifanya kumchukua yule kuku kumrudisha kwenye friji , halafu akajifanya anamtoa kuku mwingine na kumuweka kwenye mzani na kwa ufundi na umahiri mkubwa wa kiujanja ujanja ,alipomuweka yule kuku kwenye mzani akaweka kidole chake kwenye mzani kiudanganyifu , mizani ikasoma kilo mbili
Yule mama akaagiza "nifungie wote wawili, yule uliyemrudisha na huyu wa sasa"
Ni hayo tu kwa sasa...
HA HA HAAAAAAA Umeniacha hoi ni hii stori yako
 
Wayahudi ndiyo wanao chomwa sindano, hao wazungu wengine hawana shida, labla ukute wametoka kwenye familia za kitajiri hawataki breed ya rangi nyingine kwenye ukoo wao wanapigwa sindano
Asante kwa kutudanganya ila wengine hatudanganyiki
 
Back
Top Bottom