Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HA HA HAAAAAAA Umeniacha hoi ni hii stori yakoMwanamama anaingia katika bucha , muda mfupi kabla ya kufungwa bucha na anamuuliza muuza nyama:
"Una kuku?
Muuza bucha anafungua friji yake na kumtoa kuku mmoja tu aliyebaki hakukua na kuku mwingine zaidi ya huyo kuku.
Akamuweka kwenye mzani kumpima ikaonekana huyo kuku ana kilo moja unusu.
Yule mama akauliza tena
"... je hauna kuku mkubwa zaidi ya huyu tafadhali...?
Ujanja wa kibiashara na tamaa ukamuingia muuza kuku,
Akajifanya kumchukua yule kuku kumrudisha kwenye friji , halafu akajifanya anamtoa kuku mwingine na kumuweka kwenye mzani na kwa ufundi na umahiri mkubwa wa kiujanja ujanja ,alipomuweka yule kuku kwenye mzani akaweka kidole chake kwenye mzani kiudanganyifu , mizani ikasoma kilo mbili
Yule mama akaagiza "nifungie wote wawili, yule uliyemrudisha na huyu wa sasa"
Ni hayo tu kwa sasa...
Asante kwa kutudanganya ila wengine hatudanganyikiWayahudi ndiyo wanao chomwa sindano, hao wazungu wengine hawana shida, labla ukute wametoka kwenye familia za kitajiri hawataki breed ya rangi nyingine kwenye ukoo wao wanapigwa sindano
Furaha hupatikana popoteKila mtu anahitaji furaha katika maisha
Noooooo Darling!Mama la mama vp hii bahat ingekuangukia ?
Labda wewe kijana ikuangukieMama la mama vp hii bahat ingekuangukia ?
Hahahah pole washa taaHapo sisemi manake naona Giza tu.
Sawaila wazungu hawanaga mwiko
Hilo nalo nenoHapo lazima mzungu amtatue marinda .
,Hapo lazima mzungu amtatue marinda .
HawatoiHivi wazungu wanatoa govi?
Nenda Masaki OysterbayIvi kwani wazungu wanapatikana wapi kwa hapa bongo.?? Nataka na mimi nijipatie wa kwangu
HahahahaMzungu ale firigisi kwa raha zake
Bora ajipatie chumas cheupes hakijatahiriwas
Meona eeMashimo yote yanatumika hapo
Na wanatumia mashimo yote ulionayo mwilini