Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Wizi wa mapenzi kila sehemu,dunia ya leo cha msingi ukiwa kwenye mapenzi jua tu lolote laweza kutokea na wala usijiumize akili
Wakikosa soko ndo wanaanza kusema bongo hakuna mapenzi
Wakikosa soko ndo wanaanza kusema bongo hakuna mapenzi
Wakikosa soko ndo wanaanza kusema bongo hakuna mapenzi
amechuja balaa
Nakutumika pia
wamekula hadi mifupa hawajabakisha kitu
Duuh! Muoneeni huruma basi!!
aje nimuoe, akija kwa nia thabiti namuoa