Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
MKONGWE Bongo Movies, Blandina Chagula Johari, ametoa mtazamo wake kwa kusema Bongo hakuna mapenzi ya dhati, wengi wanaangalia maslahi.

Mkongwe Bongo Movies, Blandina Chagula Johari,
Akizungumza na Bongowood, Johari ambaye alidaiwa kumwagana na Vincent Kigosi Ray, alitiririka:
Bongo ni wizi mtupu, labda Ulaya. Kila siku sisi tunadanganyana tu, alisema Johari.