Johari: Mapenzi ya Bongo wizi mtupu, Kila siku tunadanganyana tu

Johari: Mapenzi ya Bongo wizi mtupu, Kila siku tunadanganyana tu

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
MKONGWE Bongo Movies, Blandina Chagula ‘Johari’, ametoa mtazamo wake kwa kusema Bongo hakuna mapenzi ya dhati, wengi wanaangalia maslahi.



Mkongwe Bongo Movies, Blandina Chagula ‘Johari’,

Akizungumza na Bongowood, Johari ambaye alidaiwa kumwagana na Vincent Kigosi ‘Ray’, alitiririka:
“Bongo ni wizi mtupu, labda Ulaya. Kila siku sisi tunadanganyana tu,” alisema Johari.
 

Attachments

  • JOHARI.jpg
    JOHARI.jpg
    48.1 KB · Views: 1,441
Johari acha kujidhalilisha ulaya ipi unayozungumzia ?huko nako ni wizi tu kama huku huyo aliyekudanganya kamuulize tena !!
Ulaya hakuna upendo kabisa watu wanalazimilshwa kubaki kwenye mahusiano kwa sababu ya sheria na kuogopa fidia kubwa mkiachana tembea uone usisikie vya kuambiwa halafu...Think BIG
 
Wizi wa mapenzi kila sehemu,dunia ya leo cha msingi ukiwa kwenye mapenzi jua tu lolote laweza kutokea na wala usijiumize akili
 
Wizi wa mapenzi kila sehemu,dunia ya leo cha msingi ukiwa kwenye mapenzi jua tu lolote laweza kutokea na wala usijiumize akili

Uyo mtu mwenyewe anayelalamika mbona hana ata true love, anayo kwenye movies tu
 
Wakikosa soko ndo wanaanza kusema bongo hakuna mapenzi

Hakuna mtu kamili anayeweza kuonyesha mapenzi ya ukweli kwa hao bongo movies sababu wanaigiza hadi maisha yao ya ukweli na wapo kimaslahi
 
hahaaaaaaa..... ostazi juma na musoma kashafanya yake.............i guess.
 
Johari labda hajielewi ataenda nje yamkute yaleyale coz mapenzi hyana formula sasa umri hajui tu
 
Mbona mi na mbongoo tunapendana akawatafutee ulayaaa kujishauaa tu
 
Back
Top Bottom