Johari: Sitaki kusikia habari za Chuchu

Nyie si wakristo jamani?hamuutaki uzima wa milele?

tunautaka sana, tena tunaishi ndani ya uzima wa Yesu Kristo kwa (wale waamini) lakini nifah wangu kila kitu na mahala pake, hii haina tofauti na kupiga wimbo wa rose muhando bills, kwenye hili jukwaa ni umbea mwanzo mwisho ni full kuchambuana tuu humu.
 
Jamani mbona sintah katufanya matusi ya hali ya juuu
 
Sasa hataki wachangiaji wengii,sie tunapitaga kusoma,ebu nielekeze mie nikasome komment nicheke mpaka nichanganyikiweee

hahahahaa ila umbea mgumu nyie, unajua me leo nimeshacheka sana, kila anaeomba msaada wa kuingia kwa sintah anaelezea jinsi amefurukuta kuingia akashindwa, mmoja basi wa kutupa msaada wote manake inaonekana wengi tuna kiu.
 
Huna email ya sinta tumchambeee
 
hahahahaa ila umbea mgumu nyie, unajua me leo nimeshacheka sana, kila anaeomba msaada wa kuingia kwa sintah anaelezea jinsi amefurukuta kuingia akashindwa, mmoja basi wa kutupa msaada wote manake inaonekana wengi tuna kiu.

Mimi tokea jana nilikua nawaambia mkaniona chizi...jamani atakayeweza atufahamishe na sie vilaza wengine....
 
Sasa hataki wachangiaji wengii,sie tunapitaga kusoma,ebu nielekeze mie nikasome komment nicheke mpaka nichanganyikiweee

Hahahaaaa sipati picha ulivyo na kiu ya umbea wa kwa sintah...yaani mimi ndio sijiwezi hapa kabisaaaa
 
Hahahaaaa sipati picha ulivyo na kiu ya umbea wa kwa sintah...yaani mimi ndio sijiwezi hapa kabisaaaa

[MENTION=164666]sintah[/MENTION sintah@sintah turudishie uhondo wetu we mrs matukio chuma
 
Last edited by a moderator:
hahahahaaa suburi kwanza ukishapata access ya kuingia kwake ndio umchambe tukimchamba kabla ya kuingia ndio atatufungia maisha.

Jaman uyo access ndo nan binamu nikusaidie kumchamba mie??
 
Nitumien na mm email yake nimpe vichambo, japokuwa sijui kutumia email ntajua hvyo hvyo

Binam hujui kutuma email wewe acha uongoo halaf ulijiunga bila kuniambiaaa
 
Binam hujui kutuma email wewe acha uongoo halaf ulijiunga bila kuniambiaaa

NIjulie wap binamu? Mo umbea tu email hata sijui kufingua mie, nijue nilinge? Nafunguliwaga, password yenyew nimesahau, mie niambie umbeya nitakuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…