John Bocco anaweza cheza mechi ya Simba na Yanga tarehe 30/09/18 TFF wakitaka.

Huna uwezo wa kunielimisha wewe.
 
Kumbe huenda naongea na mtu asiyejua soka...John Raphael Bocco ndo top score wa mda wote ligi kuu tanzania bara tangu ianzishwe..alikuwa na magoli 98 juzi katupia mawili kafikisha jumla 100.Hakuna panya yoyote wa kijani wa kumlinganisha na bocco
Kacheza ligi kwa muda gani? sio unaongea tu mtu kutwa ypo hmuhmu wenzie at least wanaenda nje wanazingua zingua wanarudi yy ypo tu hmu unategemea asifunge magoli mengi? Hajawahi jpo hata kwenda Kenya hpo ni ujinga kumfananisha na watu waliocheza ligi kwa msimu mmoja ama miwili!
 
Kumbe huenda naongea na mtu asiyejua soka...John Raphael Bocco ndo top score wa mda wote ligi kuu tanzania bara tangu ianzishwe..alikuwa na magoli 98 juzi katupia mawili kafikisha jumla 100.Hakuna panya yoyote wa kijani wa kumlinganisha na bocco
Ss jitu limecheza misimu 11 magoli 100 tu unakuja kuropoka ropoka hp tambwe msimu mmoja magoli 19 nae angepiga misimu 11 angekuwa wp? Acheni shobo zenu nyie mikia magoli kafunga ypo Azam hpo Simba kafunga goli ngp!
 
Mr Zero wewe
 
Tunaongea kwa kutumia data...hao unaowasema wewe walifunga magoli mangapi kwenye ligi kwa mda wote...kama hujui usituletee story za kwenye vijiwe vya kahawa.....kutokana na record zilizopo John Bocco ndo mchezaji anayeongoza kwa kutupia nyingi tangu ligi ianze
 
Ss jitu limecheza misimu 11 magoli 100 tu unakuja kuropoka ropoka hp tambwe msimu mmoja magoli 19 nae angepiga misimu 11 angekuwa wp? Acheni shobo zenu nyie mikia magoli kafunga ypo Azam hpo Simba kafunga goli ngp!
Hapa simba hajafunga mengi but msimu uliopita ndo best player wa vpl...alafu huu Uzi ni wa John Raphael bocco sio wa tambwe so kama kuna vitu unataka kumsifia anzisha thread ya kumsifia hukatazwi....
 
Kumbe huenda naongea na mtu asiyejua soka...John Raphael Bocco ndo top score wa mda wote ligi kuu tanzania bara tangu ianzishwe..alikuwa na magoli 98 juzi katupia mawili kafikisha jumla 100.Hakuna panya yoyote wa kijani wa kumlinganisha na bocco

Cha kushangaza amepitwa kwa idadi ya mataji ya vpl na JUMA MAKAPU....

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cha kushangaza amepitwa kwa idadi ya mataji ya vpl na JUMA MAKAPU....

[emoji23][emoji23][emoji23]
Anzisha thread ya mchezaji mwenye mataji mengi...hi ni thread ya mchezaji mwenye magoli mengi tangu ligi kuu ya Tanzania bara ianzishwe
 
Magoli 9 kwa kila Msimu....[emoji23][emoji23]
 
Acheni shobo zenu nyie mikia magoli kafunga ypo Azam hpo Simba kafunga goli ngp!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

sidhan kama watakupa jibu la swali lako kihusi magoli yake akiwa simba...

Hayazidi hata 12..
 
Ss jitu limecheza misimu 11 magoli 100 tu unakuja kuropoka ropoka hp tambwe msimu mmoja magoli 19 nae angepiga misimu 11 angekuwa wp?

19 X 11 = 209....

Bila shaka angekuwa na mabao mara mbili ziadi ya huyu mzee!

[emoji23][emoji23]
 
Kwa kuwa Bocco ana magoli 100.

Basi hivi leo yeye ana thamani zaidi ya Msuva kwenye soko....[emoji23]
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Hili nalo ni neno aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…