Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Huna uwezo wa kunielimisha wewe.Ok,wajinga kama wewe huwa ninawapa elimu kuondoa ujinga wao kichwani...kwanza kabisa siku nyingine usikurupuke kuchangia kitu ambacho hujui kimetokea wapi yaani from no where unacomment maada ambayo hujui hata inazungumzia nini...jamaa aliuliza uwezo wa john bocco nikawa namwelewesha john bocco ni nani...nimemuongelea john bocco kama top scores wa mda wote ligi kuu Tanzania bara...tunachozungumzia hapa ni uwezo wa binafsi wa mchezaji...but huyo mchezaji kwa sasa ni mali ya simba na ndo mchezaji bora ligi kuu msimu uliopita akiwa simba or nikuulize wewe kuna nzi wa kijani ndo mchezaji bora msimu wa ligi uliopita???kwa maelezo haya kama ujinga haujatoka bado kichwa niambie niendelee kutoa dozi