John Bocco asaini Simba miaka miwili!!!

Wonderful

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
7,347
Reaction score
5,986
John Bocco ni mali ya Simba,. Taarifa zinaeleza amesaini miaka miwili katika kikosi cha Simba.

Taarifa zinaeleza mkataba huo ni wa awali na inaonekana Bocco ameamua kutua Simba baada ya makubaliano yake na Azam baada ya mkataba wake kwisha, kuonekana unakwenda kombo.

Hata hivyo, Bocco amekuwa hapokei simu ili kulithibitisha hilo suala ingawa hivi karibuni alikanusha kila kilichoandikwa kwenye akaunti yake ya Instagram kuhusiana na kwamba ana mpango wa kuondoka Azam.

Alidai akaunti yake ilikuwa imetekwa lakini hali halisi ilionyesha kwamba hakuwa amezungumza lolote.

Afisa Habari wa Azam FC, Jaffar Iddi yeye alisema walikuwa katika mazungumzo na Bocco baada ya mkataba wake kufikia tamati.
 

Attachments

  • C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_images.jpg
    8.4 KB · Views: 213
Ngoja tuone atafanya nini msimbazi, ila kiwango chake kama kimeshuka vile!!! [emoji86][emoji86][emoji86]
 
Dah, katika watu siwapendi huyu jamaa, kachangia kwa kiasi kikubwa sana kutukosesha ubingwa huyu, kila Azam ikicheza na Simba jamaa lazima afunge tena magolibya ushindi, kama kweli afadhari hatatufunga tena, karibu uraiani, huku simba na yanga mambo ni shaghala bagala ila soka bado linachezwa!
 
Ameshasaini Azam na kashalamba 100Mill as a signing fee,source mm mwenyewe
 
Bongo bwana...Ila Bocco alikua akiniboa sana kwenye mechi ya Taifa stars hakua na msaada kabisa alafu makocha walikua wanampenda.

Kiujumla namwona anakiwa cha chini bora Mimi nyakati zangu
 
Vipi points zenu za mezani mmepewa?
 


Kuna watu wanaitwa Ma Mafia kipindi cha Usajili, na hao sio wengine bali ni Mabingwa wapya wa LigiKuu bara ...

Kaeni mkao wa kula mtakapo ona Kichwa cha habari kimeanza chini na Ujumbe umekaa nafasi ya kichwa cha habari...
 

Kuna watu wanaitwa Ma Mafia kipindi cha Usajili, na hao sio wengine bali ni Mabingwa wapya wa LigiKuu bara ...

Kaeni mkao wa kula mtakapo ona Kichwa cha habari kimeanza chini na Ujumbe umekaa nafasi ya kichwa cha habari...
Vipi? Malinzi keshafanya yake?
 
Vipi? Malinzi keshafanya yake?
Naaam huyo huyo aliyewaletea taarifa ya "salamu na pongezi za Infantino za Ubingwa kwa Yanga SC" na kukata ngebengebe zote za Rufaa ya Simba.

Huyo Jamaa namkubali mno, ni limafia likuu la soka la Bongo!

Unaweza Ukamuita kwa jina lake "Jamali Emery Rweyemamu Rutashobya Malinzi".

[emoji23]
 
Acheni aveva afanye Yake! Tunampa pia shukrani za dhati sisi wana Jangwani kwa kutupatia njia nyepesi za kutwaa ndio kwa kipindi chake chote akiwa Madarakani.

Go Go Aveva, wanajangwani tuko nyuma yako!
Inawezekana Yanga wamepandikiza kitu simba , naanza kupata mwanga , na ndio maana Tarimba kaingia kwa njia ya Sportpesa , tukamtosa mwanetu MO .
 
Aveva hakika amechoka , hivi huyu babu ni wa nini simba ?
Kwa taarifa JOHN BOCCO bado kinda. Urefu usikupe shida.



Raphael Bocco
Personal information
Full name John Raphael Bocco
Date of birth 5 August 1995 (age 22)
Place of birth Dar es Salaam, Tanzania
Height 1.90 m (6 ft 3 in)[1]
Playing position Striker
Club information
Current team
Azam
Senior career*
Years Team Apps (Gls)
2008– Azam
National team‡
2009– Tanzania 54 (14)[/color]

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…