John Bocco asaini Simba miaka miwili!!!

John Bocco asaini Simba miaka miwili!!!

Inawezekana Yanga wamepandikiza kitu simba , naanza kupata mwanga , na ndio maana Tarimba kaingia kwa njia ya Sportpesa , tukamtosa mwanetu MO .
Hamna kitu cha namna hiyo Mkuu!

Mule wachawi ni wao kwa wao...[emoji23]
 
Kwa taarifa JOHN BOCCO bado kinda. Urefu usikupe shida.



Raphael Bocco
Personal information
Full name John Raphael Bocco
Date of birth 5 August 1995 (age 22)
Place of birth Dar es Salaam, Tanzania
Height 1.90 m (6 ft 3 in)[1]
Playing position Striker
Club information
Current team
Azam
Senior career*
Years Team Apps (Gls)
2008– Azam
National team‡
2009– Tanzania 54 (14)[/color]

Usiwaamini sana hawa , Madaraka selemani tuliambiwa ana miaka 28 kumbe ana 48 !
 
Naaam huyo huyo aliyewaletea taarifa ya "salamu na pongezi za Infantino za Ubingwa kwa Yanga SC" na kukata ngebengebe zote za Rufaa ya Simba.

Huyo Jamaa namkubali mno, ni limafia likuu la soka la Bongo!

Unaweza Ukamuita kwa jina lake "Jamali Emery Rweyemamu Rutashobya Malinzi".

[emoji23]
Kuna mafia zaidi yake, rejea sakata la victor kosta!
 
Mbona umetaja hilo tu la Victor Costa!


Nikianza kukutajia

Akina Kaseke,Twite na wengineo utaweka wapi sura yako!
Duh, haya bhana, ila umafia simba tulianza kitambo, nimetaja victor kosta sababu aliyeingizwa mjini alikuwa ni mwenyekiti wa yanga kipindi hicho jamal malinzi, costa alitinga mazoezoni simba akiwa na jezi ya simba iliyoandikwa jamal malinzi mgongoni kama dharau ya kumuingiza mjini, hata kina husein masha na masatu kama unawaju na uliwaona wakicheza, yanga walipigwa tobo dk za mwisho!
 
Akipata watu watakao mlisha mipila ni nzuri kiasi fulani, aongeze bidii kwenye mazoezi ya ufungaji magoli.
 
Mikia inapenda cheap labour a.k.a kitonga,ganda la ndizi na kuti la mnazi.
 
Bocco atakuwa anacheza gama la SIMBA na YANGA tu maana mifupa yake imeshachoka.
 
Bocco bado kijana sana, akipewa nafasi atakuwa msaada mkubwa kwa Simba
 
Back
Top Bottom