demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Hamna kitu cha namna hiyo Mkuu!Inawezekana Yanga wamepandikiza kitu simba , naanza kupata mwanga , na ndio maana Tarimba kaingia kwa njia ya Sportpesa , tukamtosa mwanetu MO .
Mule wachawi ni wao kwa wao...[emoji23]