John Bocco ndiye anayeweza kuwabeba Simba kipindi hiki kigumu

Kidagaa kimemwozea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
3,680
Reaction score
6,554

Mchezaji mwenye magoli mengi tangu kuanza kwa Ligi Kuu Tanzania, mchezaji mwenye hamasa na utulivu, mchezaji mwenye kipaji cha uongozi Papa's John Bocco ndiye anayeweza kuwatoa Simba kwa wakati huu Mgumu wanaopitia wamuamini kila mchezo mpaka hapo Mambo yatakapokaa sawa.
 
Kwahyo na juzi walikosea kutomuanzisha huyo Papa wa Gigy Money?
 
awabebe simba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…