Na wewe unaweza kuthibitisha kwamba hajasaini timu mbili?!Una ushahidi kuwa kasaini katika timu zote mbili?
Ushamba wa wachezaji wetu ni kwamba hawana integrity na ndiyo maana wengi hawafiki mbili.Taasisi husika, tafadhali fungieni miaka 5 huyu muhuni John Boko manake analidhalilisha taifa 😡!!
Wachezaji wenyewe wamekuwa kama wale aki...... wa sinza.Sasa simba walikuwa wanasubiri nini inafikia hatua mchezaji anakwenda kusaini team nyingine kisha maongezi yanaanza kuiomba Team hiyo irudishiwe pesa yake ,simba mbona inaanza kufanya kazi bila weredi
Tena haya mambo yalishaanza kupungua manake zamani ilikuwa kawaida sana uhuni dizaini hii!Ushamba wa wachezaji wetu ni kwamba hawana integrity na ndiyo maana wengi hawafiki mbili.
We endelea tu kushabikia uhuni!Mkataba wenyewe unaonyeshwa haujasainiwa na Boko kuna jina tu, hii chai halafu Vyura fc wanafurahiiii!!
pole mkuuWe endelea tu kushabikia uhuni!
Pole za pekee zinapaswa zimfikie yule muhuni anaesajiri timu mbili ambae anapaswa kufungiwa mara moja na ushahidi utatafutwa baadae! Tunaziamini media zetu sisi!pole mkuu
hawa ndiyo wahun...kwanini wakimbilie kumtangaza kwenye media kama walikuwa wanajua ameshasain polikwane na hawakukamilisha principles za makubaliano na polikwane fc!?Bosi na CEO wa Simba Magoli anasema Ni kweli Bocco alisaini Polokwane city na wanajua walichofanya Ni kuongea na Polokwane city iwe Kama wanamnunua Bocco lakini Mazungumzo yamekuwa magumu hawajakubaliana lakini wanaamini litaisha
Taasisi husika, tafadhali fungieni miaka 5 huyu muhuni John Boko manake analidhalilisha taifa 😡!!
Bongo tunatabia ya kuchukia Mambo poa POA Sanahawa ndiyo wahun...kwanini wakimbilie kumtangaza kwenye media kama walikuwa wanajua ameshasain polikwane na hawakukamilisha principles za makubaliano na polikwane fc!?
Hii itakuwa transfer ya mwakaBosi na CEO wa Simba Magoli anasema Ni kweli Bocco alisaini Polokwane city na wanajua walichofanya Ni kuongea na Polokwane city iwe Kama wanamnunua Bocco lakini Mazungumzo yamekuwa magumu hawajakubaliana lakini wanaamini litaisha
Hizi timu ni umiza kichwa ndio maana kina Mzee Kilomoni na Akilimali wanazichezeaBongo tunatabia ya kuchukia Mambo poa POA Sana
Simba walipaswa kulimaliza hili na Polokwane kimya kimya
Magoli anasema wanajua Bocco alisani Polokwane tangu mwezi April
Walichokuwa wanafanya Ni kuongea na Polokwane wanunue hiyo pre contact ila jamaa wameweka ngumu
Bocco na anawaomba Polokwane wasimshtaki abaki Simba
Na wewe una uhakika amesaini Simba pekee?! Narudia, hili lihuni linafaa kuchukuliwa hatua kali ikiwa na pamoja kungiwa angalau miaka 5!Una uhakika kasaini mara mbili?
Kwa hili boco anaonesha n jins gani alivoBosi na CEO wa Simba Magoli anasema Ni kweli Bocco alisaini Polokwane city na wanajua walichofanya Ni kuongea na Polokwane city iwe Kama wanamnunua Bocco lakini Mazungumzo yamekuwa magumu hawajakubaliana lakini wanaamini litaisha