John Boko asaini mikataba miwili kwa timu tofauti ni Simba SC na Polokwane FC

Boko alisaini Simba kabla ya kwenda Misri? Au alirudi chapchap akamwaga wino halafu akaenda zake Misri tena? Kuna kitu kimejificha hapa.

Wasije wakamfanyia umafia kama aliofanyiwa Ajib wakati ule. Cha ajabu, Ajib huyo huyo alitaka kuingia cha kike tena.
 
Mkataba wenyewe unaonyeshwa haujasainiwa na Boko kuna jina tu, hii chai halafu Vyura fc wanafurahiiii!!
 
Sasa simba walikuwa wanasubiri nini inafikia hatua mchezaji anakwenda kusaini team nyingine kisha maongezi yanaanza kuiomba Team hiyo irudishiwe pesa yake ,simba mbona inaanza kufanya kazi bila weredi
Wachezaji wenyewe wamekuwa kama wale aki...... wa sinza.
 
Bosi na CEO wa Simba Magoli anasema Ni kweli Bocco alisaini Polokwane city na wanajua walichofanya Ni kuongea na Polokwane city iwe Kama wanamnunua Bocco lakini Mazungumzo yamekuwa magumu hawajakubaliana lakini wanaamini litaisha
hawa ndiyo wahun...kwanini wakimbilie kumtangaza kwenye media kama walikuwa wanajua ameshasain polikwane na hawakukamilisha principles za makubaliano na polikwane fc!?
 
Sasa Kwasu Kwasu lililo bora kwenu lipi, aondoke ama abaki azidi kumimina krosi kama alivyofanya kipindi kile ikafikia Kagere MK 14 naye bila hiyana akaweka kambani[emoji23][emoji23][emoji23]
 
hawa ndiyo wahun...kwanini wakimbilie kumtangaza kwenye media kama walikuwa wanajua ameshasain polikwane na hawakukamilisha principles za makubaliano na polikwane fc!?
Bongo tunatabia ya kuchukia Mambo poa POA Sana
Simba walipaswa kulimaliza hili na Polokwane kimya kimya
Magoli anasema wanajua Bocco alisani Polokwane tangu mwezi April
Walichokuwa wanafanya Ni kuongea na Polokwane wanunue hiyo pre contact ila jamaa wameweka ngumu
Bocco na anawaomba Polokwane wasimshtaki abaki Simba
 
Bosi na CEO wa Simba Magoli anasema Ni kweli Bocco alisaini Polokwane city na wanajua walichofanya Ni kuongea na Polokwane city iwe Kama wanamnunua Bocco lakini Mazungumzo yamekuwa magumu hawajakubaliana lakini wanaamini litaisha
Hii itakuwa transfer ya mwaka
John Boko Simba to Polokwane City - Free
John Boko Polokwane City to Simba - enclosed Fee
 
Bongo tunatabia ya kuchukia Mambo poa POA Sana
Simba walipaswa kulimaliza hili na Polokwane kimya kimya
Magoli anasema wanajua Bocco alisani Polokwane tangu mwezi April
Walichokuwa wanafanya Ni kuongea na Polokwane wanunue hiyo pre contact ila jamaa wameweka ngumu
Bocco na anawaomba Polokwane wasimshtaki abaki Simba
Hizi timu ni umiza kichwa ndio maana kina Mzee Kilomoni na Akilimali wanazichezea
 
Bosi na CEO wa Simba Magoli anasema Ni kweli Bocco alisaini Polokwane city na wanajua walichofanya Ni kuongea na Polokwane city iwe Kama wanamnunua Bocco lakini Mazungumzo yamekuwa magumu hawajakubaliana lakini wanaamini litaisha
Kwa hili boco anaonesha n jins gani alivo
Stupid wabongo tamaa ya pesa watakuja ngolewa breaks
 
Mchezaji anacheza ligi kwa miaka zaidi ya mi 5
Alafu anafanya mambo ya ajabu kama haya.
Wachezaji wengi bongo hawajielewi
 
Back
Top Bottom