John Boko asaini mikataba miwili kwa timu tofauti ni Simba SC na Polokwane FC

John Boko asaini mikataba miwili kwa timu tofauti ni Simba SC na Polokwane FC

Huwa nafikiria sana kwanini unaitwa severine na kuna pahala nilishakwambia hilo ni jina la kike naona unapuuza.

Severine sio Alex kwamba mwanamke nae anaweza kuitwa hivyo severine ni jina la kike nimesoma nao wawili kwa nyakati tofauti na ninawafahamu wengine kama watatu wanaishi mtaani huku
Ha ha ha asante ndugu!
 
Itakua rekodi hii Simba kumnunua mchezaji wake kutoka Polokwane ambako hajawahi hata kuvaa jezi
 
nimekuja kwa ajili ya jina John, naondoka hapa na jina Bocco. 😀
 
Back
Top Bottom