Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 1,535
- 5,332
Trump aongezewe ulinzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kwa sababu haendi yeye kupigana.Bolton ana misimamo ya ovyo sana. Muda wote yupo tayari kupigana na taifa lolote adui fizikali bila kujali hasara ya jambo Hilo Kwa Marekani. Bolton ni aina ya watu wazalendo kwelikweli. Hapendi kuona Marekani ikiyumbishwa na Russia ama Iran! Kwa misimamo yake alikuwa tayari kuhakisha uvamizi dhidi ya Iran mwaka 2019. Alitolewa ikulu Kwa sababu ya misimamo hii. Kule kwao watu aina ya Bolton ndio wale huitwa War hawks. Alikuwa na rafikiye hayati John Maccain
Trump ndiye Rais aliyewauzia Saudi Arabia silaha nyingi zaidi katika historia, sehemu kubwa ya hizo silaha ilikuwa za kuwaua Houthi na raia wengine wa kawaida wa Yemen.Ni kwa sababu haendi yeye kupigana.
Anasema hayo anayoyasema akiwa nyumbani kwake kwenye kochi.
Huko vitani wataouliwa au kupata vilema vya maisha ni wengine.
Jamaa anapenda sana vita, zile tu ambazo wengine wanaenda kupigana.
Trump ataacha kuiuzia silaha Saudi Arabia?Apewe bunduki aingie front kwnda kupigana...sometimes matatizo mengi duniani yanayosababishwa na wanasiasa ilitakiwa wapewe silaha wao wenyewe watafutane sio kuchochea migogoro halafu wao wanakuwa ofisini wanacheki kwa mbali mtanange
Kwa hiyo unakiri kwamba Marekani imefanikiwa kuzuia lengo la Urusi siku zote hizo?Nyinyi si mlikua mnasema Ukraine anapigana na Urusi peke yake?
Sasa mnamuonea huruma ya Nini?
Aendelee Sasa kupigana na Urusi bila USA.
Katika vita rahisi kwa China ni kuiteka taiwan kwa sababu ni kisiwa hivyo sio rahisi kwa Marekani kupeleka siraha kama Ukraine, njia rahisi ya Marekani kuitetea Taiwan ni kuingia vitani moja kwa moja na sidhani kama eti Marekani itaruhusu miji yake iharibiwe na mamilion ya raia wake wauawe na makombora eti kwaajili ya Taiwan.Angeanza Putin kushika bunduki kuingia front badala ya kwenda kukodi Wakorea Kaskazini hapo pointi yako ingekiwa na maana. Yaani Russsia awapore Ukraine ardhi yao halafu iwe poa tu, ndivyo mlivyofundishwa hivyo au sio!? Nini maana ya mipaka sasa!? Au ndio nyie mnaoona sawa Rwanda amege eneo la Congo!? Na baada ya hapo itakuwaje!? Kila nchi yenye ubavu wa kupora eneo la mwingine ifanye hivyo!? Na majeshi ya ulinzi kazi yake itakuwa nini!? Au bajeti za ulinzi mnaona zinawekwa tu bila akili!?
Ngoja kesho China aingie hapo Taiwani, tuone huyo bwana Trump kama atakaa kimya, kama mnavyomuona ana akili sana!
Mi nimemzungumzia Bolton. Wewe sielewi unachokizungumzia hapa!Trump ndiye Rais aliyewauzia Saudi Arabia silaha nyingi zaidi katika historia, sehemu kubwa ya hizo silaha ilikuwa za kuwaua Houthi na raia wengine wa kawaida wa Yemen.
Haaa mpaka wakawa wanasema eti Urusi ni super power uchwara ana tolewa jasho na Ukraine sasa sijui wanababaika nini?Nyinyi si mlikua mnasema Ukraine anapigana na Urusi peke yake?
Sasa mnamuonea huruma ya Nini?
Aendelee Sasa kupigana na Urusi bila USA.
Ukraine anapigania na nchi za Urusi, Korea Kaskazini na IranNyinyi si mlikua mnasema Ukraine anapigana na Urusi peke yake?
Sasa mnamuonea huruma ya Nini?
Aendelee Sasa kupigana na Urusi bila USA.
Huyo superpower uchwara kashindwa kuvimaliza vita vya Ukraine achilia mbali kuikomboa Kursk licha ya kusaidiwa na Korea KaskaziniHaaa mpaka wakawa wanasema eti Urusi ni super power uchwara ana tolewa jasho na Ukraine sasa sijui wanababaika nini?
Sasa si waendelee kupambana Trump wamlilia ili iweje?Hakuna wanajeshi Marekani wanaopigana Ukraine, raia wa Ukraine wako tayari wenyewe kupigana frontline kulinda mipaka ya nchi yao, hawajalazimishwa na Marekani.
Hajazuia bali amechelewesha tu maana mpaka sasa Urusi ina dhibiti asilimia 80 ya Dombas eneo ambalo ndo lengo kuu ,na Marekani imesha jua kuwa suala la kuzua malengo ya Urusi haliwezekaniki ndo maana wanajitoa kiakili kupitia Trump.Kwa hiyo unakiri kwamba Marekani imefanikiwa kuzuia lengo la Urusi siku zote hizo?
Sasa kama ameshindwa kumaliza vita hizo bwabwaja dhidi ya Trump ni za nini si wapambane kumfurusha huyo super power uchwara?Huyo superpower uchwara kashindwa kuvimaliza vita vya Ukraine achilia mbali kuikomboa Kursk licha ya kusaidiwa na Korea Kaskazini
Masharti yapi hayo?Sasa kama ameshindwa kumaliza vita hizo bwabwaja dhidi ya Trump ni za nini si wapambane kumfurusha huyo super power uchwara?
Super power uchwara lakini munaenda kumaliza vita kwa masharti anayo taka yeye.