Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jayjay kilichosababisha vita ya 2 dunia ni ujerumani ya hitler kkuanza kuzivamia nchi za mashariki ya ulaya akianzia poland then urus {soviet} sasa kuanzia hapo warusi wakaona wapi hatarini ndio nao wakaanza kujihami sana na kuanza kuvamia nchi zingie magharibi yao kuweka kitu kinaitwa buffer zone lakin leo wazungu na ww jayjay usie jua kila kukicha mnailaumu urusi tuhalafu dunia hii ina mikataba mingi sana ya kimataifa iwe ya amani mipaka biashara urusihajawahivunja ila nato ndio walivunja mikata waliowekeana na urusi wakati wa kuvunjika kwa soviet ndio imepeleke Urusi kuivamia ukreinAngeanza Putin kushika bunduki kuingia front badala ya kwenda kukodi Wakorea Kaskazini hapo pointi yako ingekiwa na maana. Yaani Russsia awapore Ukraine ardhi yao halafu iwe poa tu, ndivyo mlivyofundishwa hivyo au sio!? Nini maana ya mipaka sasa!? Au ndio nyie mnaoona sawa Rwanda amege eneo la Congo!? Na baada ya hapo itakuwaje!? Kila nchi yenye ubavu wa kupora eneo la mwingine ifanye hivyo!? Na majeshi ya ulinzi kazi yake itakuwa nini!? Au bajeti za ulinzi mnaona zinawekwa tu bila akili!?
Ngoja kesho China aingie hapo Taiwani, tuone huyo bwana Trump kama atakaa kimya, kama mnavyomuona ana akili sana!
Tatizo hujui historia unajiropokea tu soma historia sio kumchukia trump angalau ananyoosha mamboTrump ni mpumbavu ambaye ana_arrogance ya kujifanya kujua kila kitu, na hilo ni kosa kubwa sana.
Safiii jibu nzuri mnoNyinyi si mlikua mnasema Ukraine anapigana na Urusi peke yake?
Sasa mnamuonea huruma ya Nini?
Aendelee Sasa kupigana na Urusi bila USA.
Mwooongo sana ukrein anasaidiwa kwa kila kitu na NATO wanajeshi, siraha ,na logisticHakuna wanajeshi Marekani wanaopigana Ukraine, raia wa Ukraine wako tayari wenyewe kupigana frontline kulinda mipaka ya nchi yao, hawajalazimishwa na Marekani.
Ndio maana marekani na NATO ni dude kuubwa sio kama ubeligijiKwa hiyo unakiri kwamba Marekani imefanikiwa kuzuia lengo la Urusi siku zote hizo?
Kuna ukweliKatika vita rahisi kwa China ni kuiteka taiwan kwa sababu ni kisiwa hivyo sio rahisi kwa Marekani kupeleka siraha kama Ukraine, njia rahisi ya Marekani kuitetea Taiwan ni kuingia vitani moja kwa moja na sidhani kama eti Marekani itaruhusu miji yake iharibiwe na mamilion ya raia wake wauawe na makombora eti kwaajili ya Taiwan.
Ndio ameamuka msameheMi nimemzungumzia Bolton. Wewe sielewi unachokizungumzia hapa!
Sasa ndipo wataamini Russia ilikuwa inapambana na NATO.Nyinyi si mlikua mnasema Ukraine anapigana na Urusi peke yake?
Sasa mnamuonea huruma ya Nini?
Aendelee Sasa kupigana na Urusi bila USA.
NATO ilinunua ugomvi wa urusi na ukrein nyuma ya pazia ndio maana trump amesema hatasaidia tena ukrein imenyweaHaaa mpaka wakawa wanasema eti Urusi ni super power uchwara ana tolewa jasho na Ukraine sasa sijui wanababaika nini?
Sema ukreinNATOUkraine anapigania na nchi za Urusi, Korea Kaskazini na Iran
Hivi kwanini ulijiita proved bora ungejiita lessness maana HUJUI historia ya hii vita ww unaleta ushabiki hapaHuyo superpower uchwara kashindwa kuvimaliza vita vya Ukraine achilia mbali kuikomboa Kursk licha ya kusaidiwa na Korea Kaskazini
Waambie ukweli mchana kweupe hawaoni ukweliSasa kama ameshindwa kumaliza vita hizo bwabwaja dhidi ya Trump ni za nini si wapambane kumfurusha huyo super power uchwara?
Super power uchwara lakini munaenda kumaliza vita kwa masharti anayo taka yeye.
Unamlaumu trump kwa kipi sasa kama ukrein anajitegemea aendelee na vita bila marekan tuoneMasharti yapi hayo?
Mashabiki wa ukrein wanasema ukrein alikuwa anapigana mwenyewe bila misaada sasa acha aendelee tuoneAmerican push for peace in Ukraine is "not a betrayal," Hegseth says
From CNN's Edward Szekeres
![]()
United States Secretary of Defense Pete Hegseth delivers an address to the media prior to a meeting at NATO headquarters in Brussels, Belgium, on Thursday.
Geert Vanden Wijngaert/AP
US Defense Secretary Pete Hegseth denied that the United States had betrayed Ukraine on Thursday, following President Donald Trump’s apparent adoption of a conciliatory stance toward Moscow nearly three years after Russia’s full-scale invasion of its neighbor began.
Trump’s signal to Russian leader Vladimir Putin of his willingness to make concessions to Moscow in a push for a ceasefire has raised concerns in Ukraine, but Hegseth said the path toward peace “will require both sides recognizing things they don’t want to.”
“No country, as President Trump has pointed out, has made a larger commitment for the Ukrainian mission than the United States of America,” Hegseth told reporters before a meeting with NATO ministers in Brussels, citing the billions in aid provided by the US for Ukraine’s war effort.
“There is no betrayal there,” he said.
Hegseth, who earlier called Kyiv’s desire for NATO membership “unrealistic,” said the war in Ukraine had been “a factory reset” for the defense alliance as he reiterated Trump’s call for increased defense spending from its member states.
“Even 2% of GDP is not enough,” the defense secretary said.
“5% of defense spending is critical, a realization that there is a Russian war machine that has sought to take more and more land in Ukraine, and standing up against that is an important European responsibility.”
7 hr 37 min ago
NATO scrambles as Trump is accused of having "effectively surrendered" to Putin
From CNN's Rob Picheta
![]()
US President Donald Trump and Russian President Vladimir Putin
Reuters/Getty Images
Ukraine and its NATO partners are working to ensure that US President Donald Trump’s push to end Moscow’s war on the country does not cut Kyiv out, after Trump’s administration signaled a drastic severance from decades of American foreign policy in Europe.
Trump has “effectively surrendered” to Vladimir Putin, his former national security adviser John Bolton said on Wednesday, after the US president struck a conciliatory tone toward his Russian counterpart in a phone call that is likely to raise alarm in Ukraine.
It came hours after US Secretary of Defense Pete Hegseth said the war between Ukraine and Russia “must end,” that Kyiv joining NATO is unrealistic and that the United States will no longer prioritize European and Ukrainian security as the administration shifts its attention to securing the US’ own borders and competition with China.
Ukraine imeachwa hewani na mshirika wake muhimu.
- =======================
Msaada wa nchi za ulaya magharibi pekee hauwezi kujaza pengo la Marekani.
T14 Armata
Ndio ukweliJapo sijafurahishwa na Trump kuhusu issue ya Gaza najua pale katawaliwa na SHETANYAHU tu lakini kwa hili la Ukraine namuunga mkono. hiyo vita ni ya kipuuzi sana hata haikuwa na sababu ya kuwepo.
NATO walishasaini makubaliano na Russia miaka mingi iliyopita kuwa Ukraine haitajiunga na NATO for the sake of Russian security, sasa iweje leo wanalazimisha Ukraine ijiunge NATO?
Yani NATO wapeleke sialha zao na manyuklia hapo UKraine ambayo ni mdomoni kwa Russia, hata mimi nisingekubali
Biden na billgate ni wachawi mnoDonald Trump ni mtu wa amani,ameleta amani duniani.
Siyo kama akina Biden na Bilgate waliokuwa wanachochea vita.
US ndio ilikuwa inatoa zaidi kuliko hizo nchi za EU, wao pesa yao ina macho huku wakitegemea US ndio atoe zaidi, sasa Trump kawakomesha wapambane na hali zao.NATO ilinunua ugomvi wa urusi na ukrein nyuma ya pazia ndio maana trump amesema hatasaidia tena ukrein imenywea
Wewe historia gani unayoijua!? Kujaribu kuchora upya mipaka ya nchi!?Tatizo hujui historia unajiropokea tu soma historia sio kumchukia trump angalau ananyoosha mambo
Hivi Trump kawazuia Ukraine kuipambania ardhi yao? Yeye kakataa kuendelea kutoa pesa, basi; kama Ukrainians wanataka kuendelea kupigana na Russia, let them continue with support from US, that's itTrump ni mpumbavu ambaye ana_arrogance ya kujifanya kujua kila kitu, na hilo ni kosa kubwa sana.