John Bolton: Trump kaisalimisha Ukraine kwa Russia kikamilifu, Kremlin wanashangilia wakinywa vodka bila glass.

Jayjay kilichosababisha vita ya 2 dunia ni ujerumani ya hitler kkuanza kuzivamia nchi za mashariki ya ulaya akianzia poland then urus {soviet} sasa kuanzia hapo warusi wakaona wapi hatarini ndio nao wakaanza kujihami sana na kuanza kuvamia nchi zingie magharibi yao kuweka kitu kinaitwa buffer zone lakin leo wazungu na ww jayjay usie jua kila kukicha mnailaumu urusi tuhalafu dunia hii ina mikataba mingi sana ya kimataifa iwe ya amani mipaka biashara urusihajawahivunja ila nato ndio walivunja mikata waliowekeana na urusi wakati wa kuvunjika kwa soviet ndio imepeleke Urusi kuivamia ukrein
 
Trump ni mpumbavu ambaye ana_arrogance ya kujifanya kujua kila kitu, na hilo ni kosa kubwa sana.
Tatizo hujui historia unajiropokea tu soma historia sio kumchukia trump angalau ananyoosha mambo
 
Hakuna wanajeshi Marekani wanaopigana Ukraine, raia wa Ukraine wako tayari wenyewe kupigana frontline kulinda mipaka ya nchi yao, hawajalazimishwa na Marekani.
Mwooongo sana ukrein anasaidiwa kwa kila kitu na NATO wanajeshi, siraha ,na logistic
 
Kuna ukweli
 
Nyinyi si mlikua mnasema Ukraine anapigana na Urusi peke yake?
Sasa mnamuonea huruma ya Nini?
Aendelee Sasa kupigana na Urusi bila USA.
Sasa ndipo wataamini Russia ilikuwa inapambana na NATO.
Trump naona yupo sawa, aliyekuwa anatoa pesa nyingi zaidi ni US, wameona ngoma ngumu wameamua kubwaga manyanga...

Russia sio LIbya.
 
Haaa mpaka wakawa wanasema eti Urusi ni super power uchwara ana tolewa jasho na Ukraine sasa sijui wanababaika nini?
NATO ilinunua ugomvi wa urusi na ukrein nyuma ya pazia ndio maana trump amesema hatasaidia tena ukrein imenywea
 
Huyo superpower uchwara kashindwa kuvimaliza vita vya Ukraine achilia mbali kuikomboa Kursk licha ya kusaidiwa na Korea Kaskazini
Hivi kwanini ulijiita proved bora ungejiita lessness maana HUJUI historia ya hii vita ww unaleta ushabiki hapa
 
Sasa kama ameshindwa kumaliza vita hizo bwabwaja dhidi ya Trump ni za nini si wapambane kumfurusha huyo super power uchwara?
Super power uchwara lakini munaenda kumaliza vita kwa masharti anayo taka yeye.
Waambie ukweli mchana kweupe hawaoni ukweli
 
Mashabiki wa ukrein wanasema ukrein alikuwa anapigana mwenyewe bila misaada sasa acha aendelee tuone
 
Ndio ukweli
 
NATO ilinunua ugomvi wa urusi na ukrein nyuma ya pazia ndio maana trump amesema hatasaidia tena ukrein imenywea
US ndio ilikuwa inatoa zaidi kuliko hizo nchi za EU, wao pesa yao ina macho huku wakitegemea US ndio atoe zaidi, sasa Trump kawakomesha wapambane na hali zao.

Kingine US imeona haitowezekana kuizuia RUssia kufanikisha goals zake nchini Ukraine zaidi wataichelewesha, toka siku ile Russia wamerusha ICBM moja ina vichwa sita kupiga Ukraine , hata nchi za EU ziliogopa, kitu pekee kingewezekana kumzuia Russia ni nchi zote za NATO kuishambulia Russia, kitu ambacho nuclear war ingetangazwa.

Pesa iliyokuwa inakwenda Ukraine ni nyingi sana sana, missile moja tu ya MANPAD kama Javelin, unaweka begani ni dola 250,000 , kile kimissile cha begani ambacho ni anti tank kinafika milioni 600 Tshs, imagine MANPADs ngapi na missiles zake zimekwenda Ukraine, vifaru, ndege, missiles, drones, radars n.k
 
Trump ni mpumbavu ambaye ana_arrogance ya kujifanya kujua kila kitu, na hilo ni kosa kubwa sana.
Hivi Trump kawazuia Ukraine kuipambania ardhi yao? Yeye kakataa kuendelea kutoa pesa, basi; kama Ukrainians wanataka kuendelea kupigana na Russia, let them continue with support from US, that's it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…