Mkuu unakabia kwa juu sana.Mchezaji mpaka tumuone akicheza, mlimpamba yule Jini chaz AHWA halafu hamna kitu, mchezaji wa kucheza namungo huko ndio akaja simba
Shubamiit. Ngoja tuone.View attachment 3403032
Ripoti zinaeleza kuwa klabu ya Simba, imefikia makubaliano ya awali na kiungo wa Coton Sport, John Bosco Nchindo (23).
Mazungumzo baina ya Simba na kambi ya mchezaji yamekamilika kilichobaki ni Simba kumalizana na klabu yake (Coton Sport).
Nyota huyo raia was Cameroon alishinda tuzo ya mchezaji bora wa msimu uliopita.
Kwa emoji hapo chini Wanasimba mnazungumziaje usajili huu, ni Mali au hadi muone akicheza?
Mkuu ukifuatilia comments zangu kwa ahwa, toka msimu unaanza nikimkataa, yeye nilimkataa nilipomuona kwnamara ya kwanza, budo ndio usajili wake niliukataa nikioga kwa luwa tumemuona kwenye game mbili yasije yakawa ya yule mzimbabwe, mtu sijamkataa mpaka leo ni yule deborah, ngoma nilimtetea saana hata kipindi anawekwa benchi, bado nilikuwa naimani na ngoma..Mkuu unakabia kwa juu sana.
Punguza pressing tuko na majonzi ya kufungwa mara 5 mfululizo.
Kusema jean charles hakuwa na kitu simba ni kutokusema ukweli, simba inamatatizo mengi sana ila ina wachezaji outstanding kama jean charles, ame play part yake simba kufika hapo else kungekuwa na mabaya zaidiMchezaji mpaka tumuone akicheza, mlimpamba yule Jini chaz AHWA halafu hamna kitu, mchezaji wa kucheza namungo huko ndio akaja simba
ππMkuu unakabia kwa juu sana.
Punguza pressing tuko na majonzi ya kufungwa mara 5 mfululizo.
Kuna ile clip Ahmedy Ally anamuongelea wakati anasajiliwa aisee naitafuta sana ππMchezaji mpaka tumuone akicheza, mlimpamba yule Jini chaz AHWA halafu hamna kitu, mchezaji wa kucheza namungo huko ndio akaja simba
Siyo namungo yule ahwa alitakiwa kucheza Kagera sugarMchezaji mpaka tumuone akicheza, mlimpamba yule Jini chaz AHWA halafu hamna kitu, mchezaji wa kucheza namungo huko ndio akaja simba
Usajili anafanya MO then kazi ya kumchezesha mchezaji uwanjani anapewa Ahmed AllyMchezaji mpaka tumuone akicheza, mlimpamba yule Jini chaz AHWA halafu hamna kitu, mchezaji wa kucheza namungo huko ndio akaja simba
Daaah Namungo ama nini?Mchezaji mpaka tumuone akicheza, mlimpamba yule Jini chaz AHWA halafu hamna kitu, mchezaji wa kucheza namungo huko ndio akaja simba
Aiseee hatariMchezaji mpaka tumuone akicheza, mlimpamba yule Jini chaz AHWA halafu hamna kitu, mchezaji wa kucheza namungo huko ndio akaja simba
Hivi Jean Charles Ahoua ana magoli mangapi kwenye ligi? Na kule CAFCC kuna Mchezaji aliyeibeba Simba ukiwaondoa Mousa Camara na Jean Charles Ahoua?Mchezaji mpaka tumuone akicheza, mlimpamba yule Jini chaz AHWA halafu hamna kitu, mchezaji wa kucheza namungo huko ndio akaja simba
Wewe kwa kumwangalia unafikiri ana miaka mingapi?πππ23 years ya nyoko !!! Time Will tell
Sura yake tu Inaonyesha Yuko 36s Hivi , Amesha pigana sana na maisha mpaka maisha Yana muogopaWewe kwa kumwangalia unafikiri ana miaka mingapi?
ππππ€£ Ila hiyo ni typical kwa Wachezaji karibia wote wa Kiafrika. Uliza umri wa Mzize ushangae mwenyewe.Sura yake tu Inaonyesha Yuko 36s Hivi , Amesha pigana sana na maisha mpaka maisha Yana muogopa
Wote matapeliππππ€£ Ila hiyo ni typical kwa Wachezaji karibia wote wa Kiafrika. Uliza umri wa Mzize ushangae mwenyewe.