John Bosco Nchindo (23). Ni Mali ya Simba Sports Club

John Bosco Nchindo (23). Ni Mali ya Simba Sports Club

Kusema jean charles hakuwa na kitu simba ni kutokusema ukweli, simba inamatatizo mengi sana ila ina wachezaji outstanding kama jean charles, ame play part yake simba kufika hapo else kungekuwa na mabaya zaidi
Kwenye Penati na mipira iliyokufa (kwa Timu Vibonde lakini) ame play part sana.
 
Hivi Jean Charles Ahoua ana magoli mangapi kwenye ligi? Na kule CAFCC kuna Mchezaji aliyeibeba Simba ukiwaondoa Mousa Camara na Jean Charles Ahoua?
Ya penati na freekick mangapi?
Sawa chukua magoli yake kisha nakuuliza
Ahoua na magoli yake vs pacome asiwe hata na goli moja utabeba yupi.
Ahoua na fei toto je?
Mpira ni zaidi ya kufunga goli haswa haya ya penati, bora hata freekicks.
 
Kuna ile clip Ahmedy Ally anamuongelea wakati anasajiliwa aisee naitafuta sana 😃😃
Kama alimuona mazoezini na game za kirafiki, kisha akamsifia sana basi nae hajui boli.
Ahoua ni mchezaji wa kawaida sana.
 
Kusema jean charles hakuwa na kitu simba ni kutokusema ukweli, simba inamatatizo mengi sana ila ina wachezaji outstanding kama jean charles, ame play part yake simba kufika hapo else kungekuwa na mabaya zaidi
Nakwambia mimi ahoua ni mchezaji wa kawaida saana.
Huenda kwa huo ukawaida wake umechangia simba kuwa mbovu na kufanya waliofanya msimu huu,
Angekuwa bora zaidi basi simba ingefanya makubwa.
 
Ya penati na freekick mangapi?
Sawa chukua magoli yake kisha nakuuliza
Ahoua na magoli yake vs pacome asiwe hata na goli moja utabeba yupi.
Ahoua na fei toto je?
Mpira ni zaidi ya kufunga goli haswa haya ya penati, bora hata freekicks.
Wakati Simba inamsajili ilikuwa Ahoua ni mkali wa kupiga freekick, na ulitaka inufaike na uwezo wake huo. By the way, hata kufunga kwa penati nako ni kipaji au uwezo. Si kila mtu ana uwezo wa kufunga penalty, hata hapo Yanga kuna Wachezaji waliambiwa wapige penati lazima watimue mbio. Kwahiyo Jean Charles Ahoua anastahili pongezi badala ya kubezwa kwa uwezo wake mkubwa wa kufunga kwa pigo la penalty.
 
Nakwambia mimi ahoua ni mchezaji wa kawaida saana.
Huenda kwa huo ukawaida wake umechangia simba kuwa mbovu na kufanya waliofanya msimu huu,
Angekuwa bora zaidi basi simba ingefanya makubwa.
Hata angekuwa bora vipi, yeye peke yake hawezi kutoboa. Kwa dizaini ya mabeki wanaojifunga na wengine kuchomesha kwa back pass ulitarajia Jean Charles Ahoua afanyeje? Hata huyo Elie Mpanzu kwa dizaini ya Wachezaji wenzie waliopo pale Simba lazima aonekane hafai.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh

Swali jepesi, nani kamuona mpanzu hafai!?
Mchezaji bora hajifichi hata awe kazungukwa na wabovu kiasi gani.
 
Wakati Simba inamsajili ilikuwa Ahoua ni mkali wa kupiga freekick, na ulitaka inufaike na uwezo wake huo. By the way, hata kufunga kwa penati nako ni kipaji au uwezo. Si kila mtu ana uwezo wa kufunga penalty, hata hapo Yanga kuna Wachezaji waliambiwa wapige penati lazima watimue mbio. Kwahiyo Jean Charles Ahoua anastahili pongezi badala ya kubezwa kwa uwezo wake mkubwa wa kufunga kwa pigo la penalty.
So unasajili mchezaji kwa ajili ya penati tu 😂🤣
Unamjua master wa freekicks, aliishia kuchezea olympiqie lyon tu, si barca, si ac milan, si juventus, si Manchester, si real madrid wala bayern munich
 
So unasajili mchezaji kwa ajili ya penati tu 😂🤣
Unamjua master wa freekicks, aliishia kuchezea olympiqie lyon tu, si barca, si ac milan, si juventus, si Manchester, si real madrid wala bayern munich
Alisajiriwa kwavile ana offer vitu vingi, freekick zikiwemo. Kwani Aziz Ki mlikuwa hamfurahii free kicks zake?

Hapo umemtaja Juninho Pernambucano. Mkali haswaa ambaye labda niseme hakuwa na bahati ya kusajiliwa kwingine. Kuna watu tu hawana bahati, kama Jay Jay Okocha kutochezea Real Madrid, Barcelona au Liverpool.
 
Sasa aziz ki akiwa na mpira unadhani ni saw ana ahoua akiwa na mpira . Kitu pekee aziz ni akiwa hana mpira, ndio mnakuwa kama pungufu.
Lakini aziz ni true playmaker, bonge 1 la namba 10.

Juninho, usiniambie mambo ya bahati, sasa katika timu hizo niambie alikuwa aende akachukue namba ya nani, kisa freekicks zake. Hakuwa mchezaji mbovu, ila hakutosha kuchukua namba katika timu hizo nilizokutajia. Si juve, si madrid, ac milan, wala barca na wengineo.

Usinitajie okocha mimi, okocha alijimaliza mwenyewe, anajali sana skills, alikuwa anazingua wakati mwingine, anauwa move kisa tu ampige mtu kanzu, kuna mida alikuwa anacheza mpira wa shule sna kuliko professional.
Siku akiamua kweli kucheza mpira serious, uwanjani alikuwa hashikiki,
Angecheza mpira wa basic na decorations kidogo basi wengi wasingemfikia, skills sio kila kitu.
Unamkumbua adel taarabt? Achana nae huyu,
Neymar huyu huyu kwa skills ni bora kuliko gaucho lakini ulimwengu wa soka gaucho anakaa juu Neymar kwanini? Gaucho alikuwa anadecorate basic, ila Neymar decorations wakati mwingine zilikuwa zinawekwa bila kujali basic.
Mara aforce kanzu, mara tobo haijalishi faida yake, wakati na timu inahitaji matokeo
 
Mkuu ukifuatilia comments zangu kwa ahwa, toka msimu unaanza nikimkataa, yeye nilimkataa nilipomuona kwnamara ya kwanza, budo ndio usajili wake niliukataa nikioga kwa luwa tumemuona kwenye game mbili yasije yakawa ya yule mzimbabwe, mtu sijamkataa mpaka leo ni yule deborah, ngoma nilimtetea saana hata kipindi anawekwa benchi, bado nilikuwa naimani na ngoma..
Mtu pekee kaniangusha ni KIJILI, nilikuwa nina imani nae na mpaka sasa bado naimani nae.

Ila ahoua hamna kitu mule,
Mie nikifanya mazoezi ya kutosha, nike kwa wakati, nitombe kwa ratiba, miezi 6 tu, mie ni bora kuliko yule pimbi.
Unamkataa vipi mfungaji bora
 
Back
Top Bottom