Mbuta Likaso
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 5,414
- 10,555
Wanazingua sana.Wote matapeli
Hakuna kijana hata wa miaka 25 pale
Kwenye Penati na mipira iliyokufa (kwa Timu Vibonde lakini) ame play part sana.Kusema jean charles hakuwa na kitu simba ni kutokusema ukweli, simba inamatatizo mengi sana ila ina wachezaji outstanding kama jean charles, ame play part yake simba kufika hapo else kungekuwa na mabaya zaidi
Ya penati na freekick mangapi?Hivi Jean Charles Ahoua ana magoli mangapi kwenye ligi? Na kule CAFCC kuna Mchezaji aliyeibeba Simba ukiwaondoa Mousa Camara na Jean Charles Ahoua?
Chama langu kuna sehemu ina shida na mwaka huu nitanyooka..Usajili anafanya MO then kazi ya kumchezesha mchezaji uwanjani anapewa Ahmed Ally
Kama alimuona mazoezini na game za kirafiki, kisha akamsifia sana basi nae hajui boli.Kuna ile clip Ahmedy Ally anamuongelea wakati anasajiliwa aisee naitafuta sana 😃😃
Nakwambia mimi ahoua ni mchezaji wa kawaida saana.Kusema jean charles hakuwa na kitu simba ni kutokusema ukweli, simba inamatatizo mengi sana ila ina wachezaji outstanding kama jean charles, ame play part yake simba kufika hapo else kungekuwa na mabaya zaidi
Hujui mpira unatupigia kelele.Mchezaji mpaka tumuone akicheza, mlimpamba yule Jini chaz AHWA halafu hamna kitu, mchezaji wa kucheza namungo huko ndio akaja simba
Hahahaha,hatari huyoNgoja tuone uwanjani atafanyaje kaka
Hongera wewe unaeujuaHujui mpira unatupigia kelele.
Wakati Simba inamsajili ilikuwa Ahoua ni mkali wa kupiga freekick, na ulitaka inufaike na uwezo wake huo. By the way, hata kufunga kwa penati nako ni kipaji au uwezo. Si kila mtu ana uwezo wa kufunga penalty, hata hapo Yanga kuna Wachezaji waliambiwa wapige penati lazima watimue mbio. Kwahiyo Jean Charles Ahoua anastahili pongezi badala ya kubezwa kwa uwezo wake mkubwa wa kufunga kwa pigo la penalty.Ya penati na freekick mangapi?
Sawa chukua magoli yake kisha nakuuliza
Ahoua na magoli yake vs pacome asiwe hata na goli moja utabeba yupi.
Ahoua na fei toto je?
Mpira ni zaidi ya kufunga goli haswa haya ya penati, bora hata freekicks.
Hata angekuwa bora vipi, yeye peke yake hawezi kutoboa. Kwa dizaini ya mabeki wanaojifunga na wengine kuchomesha kwa back pass ulitarajia Jean Charles Ahoua afanyeje? Hata huyo Elie Mpanzu kwa dizaini ya Wachezaji wenzie waliopo pale Simba lazima aonekane hafai.Nakwambia mimi ahoua ni mchezaji wa kawaida saana.
Huenda kwa huo ukawaida wake umechangia simba kuwa mbovu na kufanya waliofanya msimu huu,
Angekuwa bora zaidi basi simba ingefanya makubwa.
Swali jepesi, nani kamuona mpanzu hafai!?Hata angekuwa bora vipi, yeye peke yake hawezi kutoboa. Kwa dizaini ya mabeki wanaojifunga na wengine kuchomesha kwa back pass ulitarajia Jean Charles Ahoua afanyeje? Hata huyo Elie Mpanzu kwa dizaini ya Wachezaji wenzie waliopo pale Simba lazima aonekane hafai.
So unasajili mchezaji kwa ajili ya penati tu 😂🤣Wakati Simba inamsajili ilikuwa Ahoua ni mkali wa kupiga freekick, na ulitaka inufaike na uwezo wake huo. By the way, hata kufunga kwa penati nako ni kipaji au uwezo. Si kila mtu ana uwezo wa kufunga penalty, hata hapo Yanga kuna Wachezaji waliambiwa wapige penati lazima watimue mbio. Kwahiyo Jean Charles Ahoua anastahili pongezi badala ya kubezwa kwa uwezo wake mkubwa wa kufunga kwa pigo la penalty.
Alisajiriwa kwavile ana offer vitu vingi, freekick zikiwemo. Kwani Aziz Ki mlikuwa hamfurahii free kicks zake?So unasajili mchezaji kwa ajili ya penati tu 😂🤣
Unamjua master wa freekicks, aliishia kuchezea olympiqie lyon tu, si barca, si ac milan, si juventus, si Manchester, si real madrid wala bayern munich
Sasa aziz ki akiwa na mpira unadhani ni saw ana ahoua akiwa na mpira . Kitu pekee aziz ni akiwa hana mpira, ndio mnakuwa kama pungufu.Alisajiriwa kwavile ana offer vitu vingi, freekick zikiwemo. Kwani Aziz Ki mlikuwa hamfurahii free kicks zake?
Hapo umemtaja Juninho Pernambucano. Mkali haswaa ambaye labda niseme hakuwa na bahati ya kusajiliwa kwingine. Kuna watu tu hawana bahati, kama Jay Jay Okocha kutochezea Real Madrid, Barcelona au Liverpool.
Unamkataa vipi mfungaji boraMkuu ukifuatilia comments zangu kwa ahwa, toka msimu unaanza nikimkataa, yeye nilimkataa nilipomuona kwnamara ya kwanza, budo ndio usajili wake niliukataa nikioga kwa luwa tumemuona kwenye game mbili yasije yakawa ya yule mzimbabwe, mtu sijamkataa mpaka leo ni yule deborah, ngoma nilimtetea saana hata kipindi anawekwa benchi, bado nilikuwa naimani na ngoma..
Mtu pekee kaniangusha ni KIJILI, nilikuwa nina imani nae na mpaka sasa bado naimani nae.
Ila ahoua hamna kitu mule,
Mie nikifanya mazoezi ya kutosha, nike kwa wakati, nitombe kwa ratiba, miezi 6 tu, mie ni bora kuliko yule pimbi.