John Butler Walden (1939 - 2002) a.K.a ''Black Mamba''- A legend in the Tanzanian army (author unknown)

John Butler Walden (1939 - 2002) a.K.a ''Black Mamba''- A legend in the Tanzanian army (author unknown)

Nimeshangaa kuona huyu jamaa hajatajwa sana kama walivyosifiwa wenzake akina mti mkavu et al
Mitaala ya kijinga sana, yaani mtu kama Walden inabidi umfahamu kwa jitihada zako. Ila siku zote tunasomeshwa wajinga wajinga wa ng'ambo ambao hawana maana kwetu.
Uzalendo ni somo kubwa ambalo ukilikosea utotoni huwezi kulifundisha ukubwani.
 
Yeah TPDF imekua na machotara wengi .....wengi toka Iringa ..ambako kuna jamiii hiyo pia yumo.

Maj Gen Louis ambaye alifariki akiwa mkuu wa utumishi jeshini ,a very brave commander
Mdogo wake alikuwa fighter jet Pilot
Col(brig gen) aloyce louis


Kuna kitu TPDF wanatakiwa kufanya kwenye usaili ili huhakikishai linaendelea kuvutia minority races kama machotara kujiunga na jeshi...kwa heshima ya utumishi wa mashujaa kama hawa..ni muda mrefu sijaona machotara cadets

Mkuu natafutaga sana historia ya Maj Gen Francis Louis na sijawahi kuipata. Nmeona umemuelezea kidogo
Itapendeza utupe historia yake mkuu
Natanguliza shukran
 
Nafahamu nyumbani kwake Iwambi Mbeya.
Mashujaa wetu hawa tuwaenzi kwa nguvu zetu zote.

Nani aliyekuwa anatembea na waganga wa kienyeji kila anakokwenda?😂😂😂😂😀
 
Ndio ujue Waafrika tuna ubaguzi flani mbaya sana. Huyu jamaa kazaliwa Tunduru na ashajitoa sana kwa nchi yake. Kulikua na sababu gani kumnyima cheo
Angekuwa mtu mweudi kanyimwa hiyo nafasi huko Marekani kisa rangi yake na vigezo vyote anavyo ungesikia Unafiki wetu.
 
Nimekaa naye pale mtaani sasa alikuwa ana majaribu balaa, mzee alikuwa anakushikisha msumari wa nchi sita anakwambia weka kichwani ushikirie halafu anaenda umbali kama mita 15 hivi anachukua bastola yake anafyatua halafu analenga tu msumali utasikia kriiiiiii msumali haupo mkononi!!!!alikuwa na shabaha ajabu!! Basi bwana tulifaidi nyama pori akiendaga kuwinda anarudi na minyama anagawa pale jirani aaaah mungu mlaze mahala anapostahili!!
Sheikh wangu hili rungu nimelikwepa.
 
Back
Top Bottom