John Butler Walden (1939 - 2002) a.K.a ''Black Mamba''- A legend in the Tanzanian army (author unknown)

Nimeshangaa kuona huyu jamaa hajatajwa sana kama walivyosifiwa wenzake akina mti mkavu et al
Mitaala ya kijinga sana, yaani mtu kama Walden inabidi umfahamu kwa jitihada zako. Ila siku zote tunasomeshwa wajinga wajinga wa ng'ambo ambao hawana maana kwetu.
Uzalendo ni somo kubwa ambalo ukilikosea utotoni huwezi kulifundisha ukubwani.
 

Mkuu natafutaga sana historia ya Maj Gen Francis Louis na sijawahi kuipata. Nmeona umemuelezea kidogo
Itapendeza utupe historia yake mkuu
Natanguliza shukran
 
Nafahamu nyumbani kwake Iwambi Mbeya.
Mashujaa wetu hawa tuwaenzi kwa nguvu zetu zote.

Nani aliyekuwa anatembea na waganga wa kienyeji kila anakokwenda?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜€
 
Ndio ujue Waafrika tuna ubaguzi flani mbaya sana. Huyu jamaa kazaliwa Tunduru na ashajitoa sana kwa nchi yake. Kulikua na sababu gani kumnyima cheo
Angekuwa mtu mweudi kanyimwa hiyo nafasi huko Marekani kisa rangi yake na vigezo vyote anavyo ungesikia Unafiki wetu.
 
Sheikh wangu hili rungu nimelikwepa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…