John Cheyo: Maandamano hayatufikishi popote

John Cheyo: Maandamano hayatufikishi popote

Ndugu zangu Watanzania,View attachment 3100429View attachment 3100430

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

..maandamano hayatufikishi popote.

..mazungumzo hayatufikishi popote.

..sasa tufanye nini?
 
Ndugu zangu Watanzania,View attachment 3100429View attachment 3100430

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Tatizo hoja za kishabiki hazina maslahi na taifa,...Ni sawa na ushabiki wa simba na yanga " Hii inchi imeshatoka kwenye mfumo.
 
Surah Al-Ma'idah (5:8): "Enyi mlioamini! Kuweni wenye kusimama imara kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, mkiwa mashahidi kwa uadilifu. Na chuki ya watu isikufanyeni kutokufanya uadilifu. Fanyeni uadilifu; hivyo ndivyo ilivyo karibu zaidi na uchamungu. Na mcheni Mwenyezi Mungu; hakika Mwenyezi Mungu anazo khabari za yote mnayoyatenda."

Hapa, Allah anawaonya waumini wasiruhusu chuki au upendeleo kuathiri hukumu zao, na kwamba wanapaswa kuwa na uadilifu kwa watu wote.

Hadithi
Mtume Muhammad (S.A.W) alisema: "Hakika wenye haki watakuwa juu ya mimbari za nuru mbele ya Mwenyezi Mungu. Hao ni wale wanaohukumu kwa haki katika hukumu zao, na katika familia zao, na katika majukumu waliyopewa."
(Sahih Muslim, Hadith 1827)

Hii hadithi inaelezea wema na nafasi kubwa aliyonayo yule anayehukumu kwa haki, kwa kumueleza kuwa atapewa heshima ya juu mbele ya Allah S.W.

Hadithi nyingine kutoka kwa Abu Huraira (R.A) inasema: "Mtume (S.A.W) alisema: Siku ya Kiyama, Allah atamleta hakimu na atamuuliza: ‘Je, ulitumia ujuzi wako kuhukumu kwa haki?’ Atasema, ‘Ndio, Ewe Mola wangu.’ Kisha Allah atamuambia: ‘Nilijua namna ulivyokuwa ukihukumu, kwa hivyo ulitakiwa kuhukumu kwa haki au la?’"
(Sahih Muslim)Hadithi hii inakumbusha kwamba kila hakimu au mtu anayehukumu atasimama mbele ya Allah siku ya Kiyama na kuulizwa kuhusu uadilifu wake katika kutoa hukumu.
na kwakweli wale wote wanaogoma kwa jeuri, kiburi na ukaidi, katika kusaidia kutoa ushahidi na kusema ukweli ili kamanda Ally Mohamed Kibao apate haki na stahiki zake, wanamvunjia heshima na wanasaidia kudhulumu haki na stahiki za kamanda Ally Kibao 🐒

wataulizwa siku ya hukumu mbele za Mungu.
 
Masahihisho :

Utekaji na mauaji yaendelee, Mama Amegeuka chura kiziwi na kushindwa kuwafikia watanzania kwa utumishi wake mbovu na usiogusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Mbwa wa Shamba Mama HATOSHI kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Swali

Swali zuri sana ..... People are not really,they fake to the extra miles..Tuombe huruma ya Mwenyezi Mungu.

..John Cheyo hana chochote cha kuonyesha kutoka ktk chama chake Udp kwamba mazungumzo na Ccm yanaleta matokeo mazuri zaidi.

..Na walioamua kuandamana wanafanya hivyo baada ya juhudi za mazungumzo kugonga mwamba.
 
Mazungumzo yapi yaliyogonga Mwamba
 
Back
Top Bottom