John Cheyo: Maandamano hayatufikishi popote


..maandamano hayatufikishi popote.

..mazungumzo hayatufikishi popote.

..sasa tufanye nini?
 
Tatizo hoja za kishabiki hazina maslahi na taifa,...Ni sawa na ushabiki wa simba na yanga " Hii inchi imeshatoka kwenye mfumo.
 
na kwakweli wale wote wanaogoma kwa jeuri, kiburi na ukaidi, katika kusaidia kutoa ushahidi na kusema ukweli ili kamanda Ally Mohamed Kibao apate haki na stahiki zake, wanamvunjia heshima na wanasaidia kudhulumu haki na stahiki za kamanda Ally Kibao 🐒

wataulizwa siku ya hukumu mbele za Mungu.
 
Your browser is not able to display this video.
Masahihisho :

Utekaji na mauaji yaendelee, Mama Amegeuka chura kiziwi na kushindwa kuwafikia watanzania kwa utumishi wake mbovu na usiogusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Mbwa wa Shamba Mama HATOSHI kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Swali



Swali zuri sana ..... People are not really,they fake to the extra miles..Tuombe huruma ya Mwenyezi Mungu.

..John Cheyo hana chochote cha kuonyesha kutoka ktk chama chake Udp kwamba mazungumzo na Ccm yanaleta matokeo mazuri zaidi.

..Na walioamua kuandamana wanafanya hivyo baada ya juhudi za mazungumzo kugonga mwamba.
 
..John Cheyo hana chochote cha kuonyesha kutoka ktk chama chake Udp kwamba mazungumzo na Ccm yanaleta matokeo mazuri zaidi.

..Na walioamua kuandamana wanafanya hivyo baada ya juhudi za mazungumzo kugonga mwamba.
Mazungumzo yapi yaliyogonga Mwamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…