NOREFORMSNOELECTION.John Heche achapisha ujumbe wa Tayari kwa kazi, no turning back, Get ready round ya tatu, ulioambatanishwa na picha ya magari mapya aina ya Ford Ranger
View attachment 3320073
Hii Kazi kama wa Israeli vile.John Heche achapisha ujumbe wa Tayari kwa kazi, no turning back, Get ready round ya tatu, ulioambatanishwa na picha ya magari mapya aina ya Ford Ranger
View attachment 3320073
100%NOREFORMSNOELECTION.
Hizi Gari mmeitendea haki Tone Tone yetu.John Heche achapisha ujumbe wa Tayari kwa kazi, no turning back, Get ready round ya tatu, ulioambatanishwa na picha ya magari mapya aina ya Ford Ranger
View attachment 3320073
AiseeDuh aiseee
Pascal Cassian kwa kazi ile amemaliza 😀😀Watauwa wangapi?
Na bahati mbaya kabisa, Kifo hakijawahi kuhongwa na yeyote eti kwamba yeye asife
Uwe muuwaji, na wewe utakufa tu na motoni utakwenda
Kazi kwenu mnayo kubwa sana wamwaga damu za wasio na hatia
Watauwa wangapi?
Na bahati mbaya kabisa, Kifo hakijawahi kuhongwa na yeyote eti kwamba yeye asife
Uwe muuwaji, na wewe utakufa tu na motoni utakwenda
Kazi kwenu wauwaji, mnayo kazi kubwa sana wamwaga damu za wasio na hatia
Kwa CCM yangu ninayoijua, hizi ni mbwembwe zisizo na maana wala mantiki yoyote!John Heche achapisha ujumbe wa Tayari kwa kazi, no turning back, Get ready round ya tatu, ulioambatanishwa na picha ya magari mapya aina ya Ford Ranger
View attachment 3320073
😀😀Huko okoo wa Nduli wamevimba na kufura .....
😀😀Kwa CCM yangu ninayoijua, hizi ni mbwembwe zisizo na maana wala mantiki yoyote!
Unasikitisha sana kama bado unajivunia kuwa miongoni mwa CCM hii chini ya Samia.Kwa CCM yangu ninayoijua, hizi ni mbwembwe zisizo na maana wala mantiki yoyote!
😀😀Unasikitisha sana kama bado unajivunia kuwa miongoni mwa CCM hii chini ya Samia.
Unanifanya nianze kukufikiria tofauti kabisa na nilivyo kuwa nakutazama.
Hivi huko SAUT, kama ni kweli, uliambulia kitu kweli?