Mwana kondoo 2025
JF-Expert Member
- Apr 6, 2025
- 495
- 580
Hizi gari ni matunda ya TONETONE endeleeni kuhamasisha
Ahahahahaha!!Unasikitisha sana kama bado unajivunia kuwa miongoni mwa CCM hii chini ya Samia.
Unanifanya nianze kukufikiria tofauti kabisa na nilivyo kuwa nakutazama.
Hivi huko SAUT, kama ni kweli, uliambulia kitu kweli? Siamini kuwa chuo hicho kinaweza kutoa bidhaa mbovu ya aina yako.
Tulisema nyakati za Mungu zikifika zimefika tu, ccm nyakati zenu zimeishaJohn Heche achapisha ujumbe wa Tayari kwa kazi, no turning back, Get ready round ya tatu, ulioambatanishwa na picha ya magari mapya aina ya Ford Ranger
View attachment 3320073
badiliosheni hizo tairi kabala ya huzuni haijatokeaJohn Heche achapisha ujumbe wa Tayari kwa kazi, no turning back, Get ready round ya tatu, ulioambatanishwa na picha ya magari mapya aina ya Ford Ranger
View attachment 3320073

Kama kampeni ni kumtukana Magufuli, Lema kama anayoshangilia kifo cha Magufuli, akiwaita wananchi, polisi wananchi wote wa chini, maskini wote wajinga, haitafanikiwa hizo kanda mbili, popote Tanzania. Watu, maskini watakuja kukuangalia, labda utawapa chochote.John Heche achapisha ujumbe wa Tayari kwa kazi, no turning back, Get ready round ya tatu, ulioambatanishwa na picha ya magari mapya aina ya Ford Ranger
View attachment 3320073
Vipi Updates ya kaziMpaka kieleweke. Utabiri wa shekh yahaya ukamilike.
No reform No election.
No reform no electionJohn Heche achapisha ujumbe wa Tayari kwa kazi, no turning back, Get ready round ya tatu, ulioambatanishwa na picha ya magari mapya aina ya Ford Ranger
View attachment 3320073
Hao wanaofadhili magari ipo siku, watafadhili bunduki na army cars, tuvute subira.John Heche achapisha ujumbe wa Tayari kwa kazi, no turning back, Get ready round ya tatu, ulioambatanishwa na picha ya magari mapya aina ya Ford Ranger
View attachment 3320073
Tone tone mpaka leo hii haikuwahi kufikisha mil 100,haya yachunguzwe, vibaraka hupokea vitu bila kutambua lengo la Bwana wake!, mwisho yatakuja mabomu, vifaru, mizinga!Hizi gari ni matunda ya TONETONE endeleeni kuhamasisha
Mkuu kazi bado sijabahatika kuipata.Vipi Updates ya kazi
Inafaa watobolewe na singe ili watoe upepoHuko okoo wa Nduli wamevimba na kufura .....