PreGE2025 John Heche achapisha ujumbe wa Tayari kwa kazi, no turning back, Get ready round ya tatu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Watauwa wangapi?

Na bahati mbaya kabisa, Kifo hakijawahi kuhongwa na yeyote eti kwamba yeye asife

Uwe muuwaji, na wewe utakufa tu na motoni utakwenda

Kazi kwenu wauwaji, mnayo kazi kubwa sana wamwaga damu za wasio na hatia
 
Nyumbu bwana!!!

Sasa aliyewaambia serikali inaenda kuturn-back katika kusimamia Sheria nani?!!!! Nyambaaaf, wavunje waone.
 
Kwa CCM yangu ninayoijua, hizi ni mbwembwe zisizo na maana wala mantiki yoyote!
Unasikitisha sana kama bado unajivunia kuwa miongoni mwa CCM hii chini ya Samia.
Unanifanya nianze kukufikiria tofauti kabisa na nilivyo kuwa nakutazama.
Hivi huko SAUT, kama ni kweli, uliambulia kitu kweli? Siamini kuwa chuo hicho kinaweza kutoa bidhaa mbovu ya aina yako.
 
Unasikitisha sana kama bado unajivunia kuwa miongoni mwa CCM hii chini ya Samia.
Unanifanya nianze kukufikiria tofauti kabisa na nilivyo kuwa nakutazama.
Hivi huko SAUT, kama ni kweli, uliambulia kitu kweli?
πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…