PreGE2025 John Heche achapisha ujumbe wa Tayari kwa kazi, no turning back, Get ready round ya tatu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ahahahahaha!!
 
John Heche achapisha ujumbe wa Tayari kwa kazi, no turning back, Get ready round ya tatu, ulioambatanishwa na picha ya magari mapya aina ya Ford Ranger

View attachment 3320073
Kama kampeni ni kumtukana Magufuli, Lema kama anayoshangilia kifo cha Magufuli, akiwaita wananchi, polisi wananchi wote wa chini, maskini wote wajinga, haitafanikiwa hizo kanda mbili, popote Tanzania. Watu, maskini watakuja kukuangalia, labda utawapa chochote.

Heche nafikiri ana busara zaidi ya Lema na lissu. Ngoja tuone hasa ukijikita kumtukana Magu. Wanajipunguzia ushawishi.
 
Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu..wanaokaidi atakioata wanachostahili.

No Reforms....
 
John Heche achapisha ujumbe wa Tayari kwa kazi, no turning back, Get ready round ya tatu, ulioambatanishwa na picha ya magari mapya aina ya Ford Ranger

View attachment 3320073
Hao wanaofadhili magari ipo siku, watafadhili bunduki na army cars, tuvute subira.
How this cars obtained, waonyeshe wamepataje?, au ni ufadhili kutoka wapi?, / au wamekopa fedha kutoka wapi?, tusije kulea matatizo makubwa baadae!
 
Endeleeni kuhamasishana ujinga, kwakuwa mnao uzoefu wa kuzika wafu wenu.. MSIBA WA KUJITAKIA..
 
Tone tone mpaka leo hii haikuwahi kufikisha mil 100,haya yachunguzwe, vibaraka hupokea vitu bila kutambua lengo la Bwana wake!, mwisho yatakuja mabomu, vifaru, mizinga!
🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…