Silas Samuel
JF-Expert Member
- Apr 18, 2024
- 873
- 628
UNAJUA KILICHOTOKEA AU UNATUMIA AKILI ZA CHAWA KUONGEA!! KWENYE ULE MKUTANO WALIALIKWA WANANCHI WAENDE NA VISU NA MAPANGA??Ninyi ndio mnasababisha watu wengi wenye akili timamu washindwe kuwaunga mkono,kama hamtaki watu wenye mawazo tofauti na nyinyi wasije kwenye mikutano yenu muwe mnasema tu.
Sio kujinasibu Chama Cha demokrasia ilihali demokrasia yenyewe hamuitaki hata kuisikia!
Hapo hamjamiliki hata mgambo lakini tayari mnaona ni sahihi Kiongozi wenu kuhamasisha vurugu na vipigo kwa watu wengine kwa sababu tu hawawaungi mkono!!
Kama ambavyo mna Uhuru wa kuvamia page za watu na kuandika slogan zenu,pia watu wengine Wana Uhuru wa Kwenda popote pale ndani ya Nchi hii na kutoa maoni Yao pia Ikiwa hawavunji Sheria!
Ndio gharama ya Demokrasia hiyo.
Ninyi ni Chama Cha upinzani,na mnashindwa kuvumilia upinzani?
Siku ikitokea mkawa ni Chama Tawala,tutaishije?
MNACHOKOZA MKIPIGWA MNASEMA MMEONEWA😅😅