John Heche mgombea wa nafasi ya Makamo Mwenyekiti Chadema anadaiwa kuvunja kanuni za uchaguzi ndani ya chama hicho.
Akitangaza kugombea nafasi hiyo tarehe 5/1/25 John Heche akiwa na walioitwa wafuasi wake alijitangaza yeye ni mgombea Mwenza wa Tundu Lissu na kuwataka wanachama wawachague wao. Pia aliandaa mabango kadhaa yaliyokuwa na majina ya Lissu na Heche.
Kwa mujibu wa Katiba na Taratibu za Chadema hakuna mgombea mwenza na kila mgombea anatakiwa agombee nafasi peke yake bila kujitangaza na mgombea mwingine.
Taarifa,za uhakika ni kwamba tayari kuna mashtaka na malalamiko yamewasilishwa kwa Katibu Mkuu na ikithibitika huenda John Heche akaondolewa kwenye kugombea nafasi yake.
John Heche ametangaza wazi atafanya kazi tu na Tundu Lissu na si mtu mwingine kitu ambacho kitaleta shida akichaguliwa Freeman Mbowe na yeye