Tetesi: John Heche adaiwa kukiuka kanuni za uchaguzi CHADEMA, hatarini kuenguliwa

Mnacheza na sayansi ya siasa,banda ya FAM kuona upepo unaenda vbaya kwake na Wenje,kaamua kutengeneza mazngra ili Heche atolewe ili Wenje apite akamkwamishe TAL.
Yeye ameona hatapita hivo bora achomeke mtu wake atakaye kuwa anampa a,b,c za vikao.
Lissu na Heche naona bado hawajamuwa FAM
 
Limewakaa safari hii.
 
Mbowe na dalali wenje wanataka kuanza figisu maana wanajua fika kwenye sanduku la kura itakuwa ngumu kwao kutoboa.
Hizi tuhuma itakuwa kweli zipo zinapikwa ila chawa wa mbowe kazileta hapa kupima upepo tuu!
 
Hawa naona hicho chama kimewashinda sasa dalili la kugawana milunda zinaandaliwa. wajidanganye kumkata HECHE kihuni.
 
Mnatapatapa, jambo la muhimu Mbowe kachokwa na kila mwanachadema mwenye akili isipokuwa wachumia tumbo na machawa kama wewe tu

21/01/2025 ndiyo utaelewa nguvu ya wachumia tumbo dhidi ya mitandao.
 

..haitaleta picha nzuri kumuengua John Heche.

..chama kimetoka kulalamika kuwa wagombea wake wameenguliwa serikali za mitaa, halafu na chenyewe kinashiriki dhambi hiyohiyo katika uchaguzi wake mkuu?

..mnaweza kuwa ndani ya utaratibu, lakini umma utapata muda mgumu kuwaelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…