John Heche: AFCON na FIFA waliitenga S.Africa sasa ni zamu ya Tanzania

political monger senior

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2020
Posts
1,951
Reaction score
6,399
Serikali dhalimu inawakamata viongozi na wanachama wetu na kuwabambikizia kwa makusudi na kwa uongo kesi mbaya isiyo na dhamana ya ugaidi.

Sisi tunahoji, mnajua madhara ya kusema kuna ugaidi kwenye Nchi?

Kiuchumi kwa maana ya wawekezaji wenye mitaji mikubwa,

Utalii na wageni wanaokuja Nchini.

Kimahusiano na kimashirikiano kwa mfano michezo?

Tunauliza unajenga vipi viwanja na kualika wageni kwenye Nchi ambayo nyie wenyewe Mnaitangaza Duniani kwamba mna watu 130 mmewakamata kwa ugaidi!!

Mnaanza kutuma wanaccm kusema tukae mbali na michezo.

Hivi michezo ni muhimu kuliko watu wanaotekwa? Michezo ni muhimu kuliko uhuru wa watu unaopokwa kwa uongo?

Huyo anaesema haya angekua amebambikiziwa kesi yuko gerezani angesemea wapi hiyo michezo?

Afrika kusini wakati wa ubaguzi wa rangi ilitengwa na FIFA na CAF.. serikali hii inayobagua na kubambikizia watu wanaotekwa chadema kesi inastahili kutengwa na kila mtu Duniani.

Ameandika John Heche
1785577344409.png

1785576434926.jpg
 
View attachment 3641312
View attachment 3641307
Screenshot_20251201-222021~2.png
 
Heche una uwelewa mdogo sana wa mambo ya kimataifa. Achana nayo yasije yakakutia aibu. FIFA na CAF wana namna yao ya kufanya mambo yao. HUWAWEZI. We komaa na Tone Tone maana "Wajinga Ndio Waliwao" halafu tukae Passion tugonge Konyagi!
 
Serikali dhalimu inawakamata viongozi na wanachama wetu na kuwabambikizia kwa makusudi na kwa uongo kesi mbaya isiyo na dhamana ya ugaidi.

Sisi tunahoji, mnajua madhara ya kusema kuna ugaidi kwenye Nchi?

Kiuchumi kwa maana ya wawekezaji wenye mitaji mikubwa,

Utalii na wageni wanaokuja Nchini.

Kimahusiano na kimashirikiano kwa mfano michezo?

Tunauliza unajenga vipi viwanja na kualika wageni kwenye Nchi ambayo nyie wenyewe Mnaitangaza Duniani kwamba mna watu 130 mmewakamata kwa ugaidi!!

Mnaanza kutuma wanaccm kusema tukae mbali na michezo.

Hivi michezo ni muhimu kuliko watu wanaotekwa? Michezo ni muhimu kuliko uhuru wa watu unaopokwa kwa uongo?

Huyo anaesema haya angekua amebambikiziwa kesi yuko gerezani angesemea wapi hiyo michezo?

Afrika kusini wakati wa ubaguzi wa rangi ilitengwa na FIFA na CAF.. serikali hii inayobagua na kubambikizia watu wanaotekwa chadema kesi inastahili kutengwa na kila mtu Duniani.

Ameandika John Heche
View attachment 3641312
View attachment 3641307
CCM ni vichwa maji..

Wapelekewe moto mpaka waite maji "maa.."

Washenzi sana hawa. Wanakunya mavi wenyewe tena kwa kujiharishia, halafu wanaanza kuvizia mashati ya watu wengine wachambie kujisafishia uchafu wao...

Wao ndio wanaitangaza nchi kuwa ina UGAIDI na MAGAIDI zaidi ya 130 na wameyashitaki kwa kosa hilo mahakamani..

Wanatoka watu kuwaambia, nyie mmejinyea, jisafisheni..

Badala wafurahi wametonywa, wao wanawaona watonyaji kuwa sio wazalendo...

This is too bad for CCM indeed maana...

KWA HAKIKA WATAKULA MATUNDA YA NDIMI/MIDOMO YAO...
 
Kama anajua madhara ya ugaidi mbona na yeye bado anaendelea na tabia zinazoshahabiana nao?
 
Serikali dhalimu inawakamata viongozi na wanachama wetu na kuwabambikizia kwa makusudi na kwa uongo kesi mbaya isiyo na dhamana ya ugaidi.

Sisi tunahoji, mnajua madhara ya kusema kuna ugaidi kwenye Nchi?

Kiuchumi kwa maana ya wawekezaji wenye mitaji mikubwa,

Utalii na wageni wanaokuja Nchini.

Kimahusiano na kimashirikiano kwa mfano michezo?

Tunauliza unajenga vipi viwanja na kualika wageni kwenye Nchi ambayo nyie wenyewe Mnaitangaza Duniani kwamba mna watu 130 mmewakamata kwa ugaidi!!

Mnaanza kutuma wanaccm kusema tukae mbali na michezo.

Hivi michezo ni muhimu kuliko watu wanaotekwa? Michezo ni muhimu kuliko uhuru wa watu unaopokwa kwa uongo?

Huyo anaesema haya angekua amebambikiziwa kesi yuko gerezani angesemea wapi hiyo michezo?

Afrika kusini wakati wa ubaguzi wa rangi ilitengwa na FIFA na CAF.. serikali hii inayobagua na kubambikizia watu wanaotekwa chadema kesi inastahili kutengwa na kila mtu Duniani.

Ameandika John Heche
View attachment 3641312
View attachment 3641307
Extremists

You can’t compare apartheid na Tanzania

Siasa ni chanzo cha umasikini uliokithiri
 
Heche una uwelewa mdogo sana wa mambo ya kimataifa. Achana nayo yasije yakakutia aibu. FIFA na CAF wana namna yao ya kutafanya mambo yao. HAWAWEZI. We komaa na Tone Tone maana "Wajinga Ndio Waliwao" halafu tukae Passion tugonge Konyagi!
Yaani wewe ndiye kichaa halisi..

Hata hapo bado tu humwelewi John Heche? Basi wewe utakuwa umelogwa na kuchimbiwa kwenye laana ya kukosa ufahamu na kuelewa.,

Si ajabu wewe unamwelewa Patrobas Katambi anayesema "....Tanzania hakuna ugaidi ila ina viashiria vya ugaidi.." halafu wakati huohuo Polisi walio chini yake kama Waziri, wamekamata watu kwa makosa ya ugaidi na wameshawafikisha mahakamani na hati za mashitaka zikisoma kosa ni "..kushiriki matendo ya kigaidi katika maeneo mbalimbali hapa nchini.."

Bila shaka wewe ufahamu wako unakuambia umwelewe mtu wa namna hii, au siyo...?
 
Hivi ukiwa mwanasiasa wa upinzani ndio unatakiwa usiwe unaitakia meme nchi yako?

Ndio maana Chama chenu kinakufa
Bado kuna sehemu fikra zako zimekwama unahitaji a jump start leads on to jump start it back on. Ni hivi Wanasiasa wa upinzani wapo ktk wakati mgumu sana unaoambatana na kuminywa kwa haki za kibinadamu kinyume na katiba ya nchi yetu na hata kimataifa (sina haja ya kuziambatanisha kama wewe ni raia wa Tanzania, na una akili timamu na mpenda haki na amani utakuwa unaelewa ninacho maanisha), njia pekee za kuonyesha kutokukubaliana na maovu hayo ni kupaza sauti, na unaweza kupaza sauti kwa njia nyingi tu ikiwamo hiyo wanayotaka kuifanya ili dunia ielewe nini kinachoendelea TZ, kamwe huwezi kufumbia macho maovu yanayoendelea TZ huku wengine wakilia na kutaabika. Nchi haipo shwari FULL STOP.
 
Yaani wewe ndiye kichaa halisi..

Hata hapo bado tu humwelewi John Heche? Basi wewe utakuwa umelogwa na kuchimbiwa kwenye laana ya kukosa ufahamu na kuelewa.,

Si ajabu wewe unamwelewa Patrobas Katambi anayesema "....Tanzania hakuna ugaidi ila ina viashiria vya ugaidi.." halafu wakati huohuo Polisi walio chini yake kama Waziri, wamekamata watu kwa makosa ya ugaidi na wameshawafikisha mahakamani na hati za mashitaka zikisoma kosa ni "..kushiriki matendo ya kigaidi katika maeneo mbalimbali hapa nchini.."

Bila shaka wewe ufahamu wako unakuambia umwelewe mtu wa namna hii, au siyo...?
Narudia tena, CAF na FIFa hawaendeshwi kama wewe nyumbu unavofikiria. Vyombo hivi vya Kimataifa vina "indicators" zao za kiwango cha ugaidi kinachozoweza kuwafanya kusema hapa Kuna ugaidi unaweza kusababisha mashindano yasifanyike eneo au nchi fulani. Wewe na Heche hizo indicators mnazijua na mnajua zikifikia kiwango gani ndio wanaahirisha?
 
For the SAKE of our Country, tuungane na HECHE ktk hili.
Sio hili tu. Heche kanyooka kwa mengi. Anamtetea kila mmoja hata mwanaccm. Ulijua kitakachomkuta Balozi, mwanaccm kindakindaki pole pole?. Ulijua kitakachomkuta mfanyakazi wa serikali,mhadhiri wa chuo kikuu Dodoma atabambikiwa kesi gani ili kuwatisha wengine?

Kwa hiyo ukiyajua hayo,ujue Heche anamtetea kila mmoja. Ksbb kwa Tanzania ya sasa hatuko salama. Hujui kesho yako.
 
Serikali dhalimu inawakamata viongozi na wanachama wetu na kuwabambikizia kwa makusudi na kwa uongo kesi mbaya isiyo na dhamana ya ugaidi.

Sisi tunahoji, mnajua madhara ya kusema kuna ugaidi kwenye Nchi?

Kiuchumi kwa maana ya wawekezaji wenye mitaji mikubwa,

Utalii na wageni wanaokuja Nchini.

Kimahusiano na kimashirikiano kwa mfano michezo?

Tunauliza unajenga vipi viwanja na kualika wageni kwenye Nchi ambayo nyie wenyewe Mnaitangaza Duniani kwamba mna watu 130 mmewakamata kwa ugaidi!!

Mnaanza kutuma wanaccm kusema tukae mbali na michezo.

Hivi michezo ni muhimu kuliko watu wanaotekwa? Michezo ni muhimu kuliko uhuru wa watu unaopokwa kwa uongo?

Huyo anaesema haya angekua amebambikiziwa kesi yuko gerezani angesemea wapi hiyo michezo?

Afrika kusini wakati wa ubaguzi wa rangi ilitengwa na FIFA na CAF.. serikali hii inayobagua na kubambikizia watu wanaotekwa chadema kesi inastahili kutengwa na kila mtu Duniani.

Ameandika John Heche
View attachment 3641312
View attachment 3641307

Nyerere alivyosisitiza umuhimu wa vikwazo kwa makaburu

Oktoba 12, 1970. Video ya mahojiano ya ITN na Rais Julius Nyerere wa Tanzania ambaye alidai kwamba kwa kuuza silaha kwa taifa kumi la Afrika Kusini lenye utawala wa ubaguzi wa rangi, serikali ya Uingereza ilikuwa ikiwapa watawala wachache wa Afrika Kusini "cheti cha heshima".

View: https://m.youtube.com/watch?v=WJbI8USsY3k

N.B
VIVYOHIVYO CAF NA FIFA KURUHUSU AFCON KUFANYIKA TANZANIA NI KUMPA CHETI CHA HESHIMA MTAWALA HARAMU MUAJI SAMIA HASSAN NA SERIKALI YAKE HARAMU
 
Back
Top Bottom