ujoka
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 5,277
- 12,506
Kuitakia meme nchi sio jambo la hekimqHivi ukiwa mwanasiasa wa upinzani ndio unatakiwa usiwe unaitakia meme nchi yako?
Ndio maana Chama chenu kinakufa

CCM imejiingiza yenyewe kwenye mfumo, sasa itegemee tu "multiplying effects" kwa yale maovu iliyokwisha kuyafanya.Serikali dhalimu inawakamata viongozi na wanachama wetu na kuwabambikizia kwa makusudi na kwa uongo kesi mbaya isiyo na dhamana ya ugaidi.
Sisi tunahoji, mnajua madhara ya kusema kuna ugaidi kwenye Nchi?
Kiuchumi kwa maana ya wawekezaji wenye mitaji mikubwa,
Utalii na wageni wanaokuja Nchini.
Kimahusiano na kimashirikiano kwa mfano michezo?
Tunauliza unajenga vipi viwanja na kualika wageni kwenye Nchi ambayo nyie wenyewe Mnaitangaza Duniani kwamba mna watu 130 mmewakamata kwa ugaidi!!
Mnaanza kutuma wanaccm kusema tukae mbali na michezo.
Hivi michezo ni muhimu kuliko watu wanaotekwa? Michezo ni muhimu kuliko uhuru wa watu unaopokwa kwa uongo?
Huyo anaesema haya angekua amebambikiziwa kesi yuko gerezani angesemea wapi hiyo michezo?
Afrika kusini wakati wa ubaguzi wa rangi ilitengwa na FIFA na CAF.. serikali hii inayobagua na kubambikizia watu wanaotekwa chadema kesi inastahili kutengwa na kila mtu Duniani.
Ameandika John Heche
View attachment 3641312
View attachment 3641307
Mwamba anakabia juu sanaSerikali dhalimu inawakamata viongozi na wanachama wetu na kuwabambikizia kwa makusudi na kwa uongo kesi mbaya isiyo na dhamana ya ugaidi.
Sisi tunahoji, mnajua madhara ya kusema kuna ugaidi kwenye Nchi?
Kiuchumi kwa maana ya wawekezaji wenye mitaji mikubwa,
Utalii na wageni wanaokuja Nchini.
Kimahusiano na kimashirikiano kwa mfano michezo?
Tunauliza unajenga vipi viwanja na kualika wageni kwenye Nchi ambayo nyie wenyewe Mnaitangaza Duniani kwamba mna watu 130 mmewakamata kwa ugaidi!!
Mnaanza kutuma wanaccm kusema tukae mbali na michezo.
Hivi michezo ni muhimu kuliko watu wanaotekwa? Michezo ni muhimu kuliko uhuru wa watu unaopokwa kwa uongo?
Huyo anaesema haya angekua amebambikiziwa kesi yuko gerezani angesemea wapi hiyo michezo?
Afrika kusini wakati wa ubaguzi wa rangi ilitengwa na FIFA na CAF.. serikali hii inayobagua na kubambikizia watu wanaotekwa chadema kesi inastahili kutengwa na kila mtu Duniani.
Ameandika John Heche
View attachment 3641312
View attachment 3641307
Ukitumia nukta tu ya akili yako utajua wale wenye serikali na ccm ndiyo wasioitakia nchi mema.Hivi ukiwa mwanasiasa wa upinzani ndio unatakiwa usiwe unaitakia meme nchi yako?
Ndio maana Chama chenu kinakufa
Kama Chama ni marehemu yaani hakipo, acha kukiongelea. Ongelea vyama vyenye nguvu kama Tadea, Chauma nk.Hivi ukiwa mwanasiasa wa upinzani ndio unatakiwa usiwe unaitakia meme nchi yako?
Ndio maana Chama chenu kinakufa
Single ya chama kufa imeshachuja. Waambie hao viongozi wako wauaji waache siasa za kipuuzi maana wakijua kutwanga, wengine wanajua kuanika. Cdm shikilia hapo hapo hadi wapuuzi akili ziwakae vizuri..Hivi ukiwa mwanasiasa wa upinzani ndio unatakiwa usiwe unaitakia meme nchi yako?
Ndio maana Chama chenu kinakufa
Na kwanini CCM (Chamia) ametekeleza ukatili dhidi ya binadamu na ubinadamu, na kuhujumu nchi , na wananchi wake Kwa kutofanya uchaguzi na sasa Kuendesha Bunge lisilo la wananchi, na kuwapa hela vyama ambavyo si vya wananchi.Serikali dhalimu inawakamata viongozi na wanachama wetu na kuwabambikizia kwa makusudi na kwa uongo kesi mbaya isiyo na dhamana ya ugaidi.
Sisi tunahoji, mnajua madhara ya kusema kuna ugaidi kwenye Nchi?
Kiuchumi kwa maana ya wawekezaji wenye mitaji mikubwa,
Utalii na wageni wanaokuja Nchini.
Kimahusiano na kimashirikiano kwa mfano michezo?
Tunauliza unajenga vipi viwanja na kualika wageni kwenye Nchi ambayo nyie wenyewe Mnaitangaza Duniani kwamba mna watu 130 mmewakamata kwa ugaidi!!
Mnaanza kutuma wanaccm kusema tukae mbali na michezo.
Hivi michezo ni muhimu kuliko watu wanaotekwa? Michezo ni muhimu kuliko uhuru wa watu unaopokwa kwa uongo?
Huyo anaesema haya angekua amebambikiziwa kesi yuko gerezani angesemea wapi hiyo michezo?
Afrika kusini wakati wa ubaguzi wa rangi ilitengwa na FIFA na CAF.. serikali hii inayobagua na kubambikizia watu wanaotekwa chadema kesi inastahili kutengwa na kila mtu Duniani.
Ameandika John Heche
View attachment 3641312
View attachment 3641307
Sani katangaza ugaidi?Hivi ukiwa mwanasiasa wa upinzani ndio unatakiwa usiwe unaitakia meme nchi yako?
Ndio maana Chama chenu kinakufa
We pia ni zuzu hivi aliyesema kuna ugaidi hapa nchini ni upinzani au ni hao maharamiaHivi ukiwa mwanasiasa wa upinzani ndio unatakiwa usiwe unaitakia meme nchi yako?
Ndio maana Chama chenu kinakufa
Heche amebarikiwa sana kitu kinaitwa 'LOGICAL INTELLIGENCE'Serikali dhalimu inawakamata viongozi na wanachama wetu na kuwabambikizia kwa makusudi na kwa uongo kesi mbaya isiyo na dhamana ya ugaidi.
Sisi tunahoji, mnajua madhara ya kusema kuna ugaidi kwenye Nchi?
Kiuchumi kwa maana ya wawekezaji wenye mitaji mikubwa,
Utalii na wageni wanaokuja Nchini.
Kimahusiano na kimashirikiano kwa mfano michezo?
Tunauliza unajenga vipi viwanja na kualika wageni kwenye Nchi ambayo nyie wenyewe Mnaitangaza Duniani kwamba mna watu 130 mmewakamata kwa ugaidi!!
Mnaanza kutuma wanaccm kusema tukae mbali na michezo.
Hivi michezo ni muhimu kuliko watu wanaotekwa? Michezo ni muhimu kuliko uhuru wa watu unaopokwa kwa uongo?
Huyo anaesema haya angekua amebambikiziwa kesi yuko gerezani angesemea wapi hiyo michezo?
Afrika kusini wakati wa ubaguzi wa rangi ilitengwa na FIFA na CAF.. serikali hii inayobagua na kubambikizia watu wanaotekwa chadema kesi inastahili kutengwa na kila mtu Duniani.
Ameandika John Heche
View attachment 3641312
View attachment 3641307
Labda wamewekewa 'bunduki' kichwani. Who knows?Polisi kimekua chombo cha ajabu sana
Hivi watendaji wake wanakubalije kutumikishwa na wanasiasa?