political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,951
- 6,399
Serikali dhalimu inawakamata viongozi na wanachama wetu na kuwabambikizia kwa makusudi na kwa uongo kesi mbaya isiyo na dhamana ya ugaidi.
Sisi tunahoji, mnajua madhara ya kusema kuna ugaidi kwenye Nchi?
Kiuchumi kwa maana ya wawekezaji wenye mitaji mikubwa,
Utalii na wageni wanaokuja Nchini.
Kimahusiano na kimashirikiano kwa mfano michezo?
Tunauliza unajenga vipi viwanja na kualika wageni kwenye Nchi ambayo nyie wenyewe Mnaitangaza Duniani kwamba mna watu 130 mmewakamata kwa ugaidi!!
Mnaanza kutuma wanaccm kusema tukae mbali na michezo.
Hivi michezo ni muhimu kuliko watu wanaotekwa? Michezo ni muhimu kuliko uhuru wa watu unaopokwa kwa uongo?
Huyo anaesema haya angekua amebambikiziwa kesi yuko gerezani angesemea wapi hiyo michezo?
Afrika kusini wakati wa ubaguzi wa rangi ilitengwa na FIFA na CAF.. serikali hii inayobagua na kubambikizia watu wanaotekwa chadema kesi inastahili kutengwa na kila mtu Duniani.
Ameandika John Heche
View attachment 3641312
View attachment 3641307
For the SAKE of our Country, tuungane na HECHE ktk hili.
Acha kifeHivi ukiwa mwanasiasa wa upinzani ndio unatakiwa usiwe unaitakia meme nchi yako?
Ndio maana Chama chenu kinakufa
Heche una uwelewa mdogo sana wa mambo ya kimataifa. Achana nayo yasije yakakutia aibu. FIFA na CAF wana namna yao ya kufanya mambo yao. HUWAWEZI. We komaa na Tone Tone maana "Wajinga Ndio Waliwao" halafu tukae Passion tugonge Konyagi!Serikali dhalimu inawakamata viongozi na wanachama wetu na kuwabambikizia kwa makusudi na kwa uongo kesi mbaya isiyo na dhamana ya ugaidi.
Sisi tunahoji, mnajua madhara ya kusema kuna ugaidi kwenye Nchi?
Kiuchumi kwa maana ya wawekezaji wenye mitaji mikubwa,
Utalii na wageni wanaokuja Nchini.
Kimahusiano na kimashirikiano kwa mfano michezo?
Tunauliza unajenga vipi viwanja na kualika wageni kwenye Nchi ambayo nyie wenyewe Mnaitangaza Duniani kwamba mna watu 130 mmewakamata kwa ugaidi!!
Mnaanza kutuma wanaccm kusema tukae mbali na michezo.
Hivi michezo ni muhimu kuliko watu wanaotekwa? Michezo ni muhimu kuliko uhuru wa watu unaopokwa kwa uongo?
Huyo anaesema haya angekua amebambikiziwa kesi yuko gerezani angesemea wapi hiyo michezo?
Afrika kusini wakati wa ubaguzi wa rangi ilitengwa na FIFA na CAF.. serikali hii inayobagua na kubambikizia watu wanaotekwa chadema kesi inastahili kutengwa na kila mtu Duniani.
Ameandika John Heche
View attachment 3641312
View attachment 3641307
CCM ni vichwa maji..Serikali dhalimu inawakamata viongozi na wanachama wetu na kuwabambikizia kwa makusudi na kwa uongo kesi mbaya isiyo na dhamana ya ugaidi.
Sisi tunahoji, mnajua madhara ya kusema kuna ugaidi kwenye Nchi?
Kiuchumi kwa maana ya wawekezaji wenye mitaji mikubwa,
Utalii na wageni wanaokuja Nchini.
Kimahusiano na kimashirikiano kwa mfano michezo?
Tunauliza unajenga vipi viwanja na kualika wageni kwenye Nchi ambayo nyie wenyewe Mnaitangaza Duniani kwamba mna watu 130 mmewakamata kwa ugaidi!!
Mnaanza kutuma wanaccm kusema tukae mbali na michezo.
Hivi michezo ni muhimu kuliko watu wanaotekwa? Michezo ni muhimu kuliko uhuru wa watu unaopokwa kwa uongo?
Huyo anaesema haya angekua amebambikiziwa kesi yuko gerezani angesemea wapi hiyo michezo?
Afrika kusini wakati wa ubaguzi wa rangi ilitengwa na FIFA na CAF.. serikali hii inayobagua na kubambikizia watu wanaotekwa chadema kesi inastahili kutengwa na kila mtu Duniani.
Ameandika John Heche
View attachment 3641312
View attachment 3641307
ExtremistsSerikali dhalimu inawakamata viongozi na wanachama wetu na kuwabambikizia kwa makusudi na kwa uongo kesi mbaya isiyo na dhamana ya ugaidi.
Sisi tunahoji, mnajua madhara ya kusema kuna ugaidi kwenye Nchi?
Kiuchumi kwa maana ya wawekezaji wenye mitaji mikubwa,
Utalii na wageni wanaokuja Nchini.
Kimahusiano na kimashirikiano kwa mfano michezo?
Tunauliza unajenga vipi viwanja na kualika wageni kwenye Nchi ambayo nyie wenyewe Mnaitangaza Duniani kwamba mna watu 130 mmewakamata kwa ugaidi!!
Mnaanza kutuma wanaccm kusema tukae mbali na michezo.
Hivi michezo ni muhimu kuliko watu wanaotekwa? Michezo ni muhimu kuliko uhuru wa watu unaopokwa kwa uongo?
Huyo anaesema haya angekua amebambikiziwa kesi yuko gerezani angesemea wapi hiyo michezo?
Afrika kusini wakati wa ubaguzi wa rangi ilitengwa na FIFA na CAF.. serikali hii inayobagua na kubambikizia watu wanaotekwa chadema kesi inastahili kutengwa na kila mtu Duniani.
Ameandika John Heche
View attachment 3641312
View attachment 3641307
Yaani wewe ndiye kichaa halisi..Heche una uwelewa mdogo sana wa mambo ya kimataifa. Achana nayo yasije yakakutia aibu. FIFA na CAF wana namna yao ya kutafanya mambo yao. HAWAWEZI. We komaa na Tone Tone maana "Wajinga Ndio Waliwao" halafu tukae Passion tugonge Konyagi!
Hili limedhibitishwa na serekali ya CCM, kuwa Tanzania kuna ugaidi.Tanganyika haipo salama kabisa.Kuna ugaidi!
Bado kuna sehemu fikra zako zimekwama unahitaji a jump start leads on to jump start it back on. Ni hivi Wanasiasa wa upinzani wapo ktk wakati mgumu sana unaoambatana na kuminywa kwa haki za kibinadamu kinyume na katiba ya nchi yetu na hata kimataifa (sina haja ya kuziambatanisha kama wewe ni raia wa Tanzania, na una akili timamu na mpenda haki na amani utakuwa unaelewa ninacho maanisha), njia pekee za kuonyesha kutokukubaliana na maovu hayo ni kupaza sauti, na unaweza kupaza sauti kwa njia nyingi tu ikiwamo hiyo wanayotaka kuifanya ili dunia ielewe nini kinachoendelea TZ, kamwe huwezi kufumbia macho maovu yanayoendelea TZ huku wengine wakilia na kutaabika. Nchi haipo shwari FULL STOP.Hivi ukiwa mwanasiasa wa upinzani ndio unatakiwa usiwe unaitakia meme nchi yako?
Ndio maana Chama chenu kinakufa
Narudia tena, CAF na FIFa hawaendeshwi kama wewe nyumbu unavofikiria. Vyombo hivi vya Kimataifa vina "indicators" zao za kiwango cha ugaidi kinachozoweza kuwafanya kusema hapa Kuna ugaidi unaweza kusababisha mashindano yasifanyike eneo au nchi fulani. Wewe na Heche hizo indicators mnazijua na mnajua zikifikia kiwango gani ndio wanaahirisha?Yaani wewe ndiye kichaa halisi..
Hata hapo bado tu humwelewi John Heche? Basi wewe utakuwa umelogwa na kuchimbiwa kwenye laana ya kukosa ufahamu na kuelewa.,
Si ajabu wewe unamwelewa Patrobas Katambi anayesema "....Tanzania hakuna ugaidi ila ina viashiria vya ugaidi.." halafu wakati huohuo Polisi walio chini yake kama Waziri, wamekamata watu kwa makosa ya ugaidi na wameshawafikisha mahakamani na hati za mashitaka zikisoma kosa ni "..kushiriki matendo ya kigaidi katika maeneo mbalimbali hapa nchini.."
Bila shaka wewe ufahamu wako unakuambia umwelewe mtu wa namna hii, au siyo...?
Sio hili tu. Heche kanyooka kwa mengi. Anamtetea kila mmoja hata mwanaccm. Ulijua kitakachomkuta Balozi, mwanaccm kindakindaki pole pole?. Ulijua kitakachomkuta mfanyakazi wa serikali,mhadhiri wa chuo kikuu Dodoma atabambikiwa kesi gani ili kuwatisha wengine?For the SAKE of our Country, tuungane na HECHE ktk hili.