Uchaguzi 2020 John Heche aimalizia CCM kata ya Nyamongo

Uchaguzi 2020 John Heche aimalizia CCM kata ya Nyamongo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio kampeni iliyopigwa jioni ya leo .

Subpost 1 - Mgombea ubunge Jimbo la Tarime vijijini Mh @hechejohn akihutubia uma ( 360 X 640 ).jpg
 
Huu utakuwa ni uchaguzi wa kihistoria kwa Tanzania,mpinzani aliyepigwa risasi na Magoo-fool anaenda kushinda uchaguzi kwa haki!
Hicho ndio kinawaumiza mno , natabiri Ndugai na Magufuli kukimbia nchi baada ya october 28
 
Wewe Nyamongo haijawahi kuwa na urafiki na ccm toka madini yao yalivyogawiwa kwa mabeberu na Ccm na kisha wakazi wa pale wakaanza kufukuzwa kwa kupigwa risasi
 
Back
Top Bottom