Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
John Heche anategemea kutema cheche 05/01/2025, saa tano asubuhi.
Press conference hii itakuwa live kupitia vyombo mbali mbali vya habari. Uamuzi huo wa kuitisha press conference umeonekana kuungwa mkono na Godbless Lema kupitia mtandao wa X.
Soma zaidi:
www.jamiiforums.com
Press conference hii itakuwa live kupitia vyombo mbali mbali vya habari. Uamuzi huo wa kuitisha press conference umeonekana kuungwa mkono na Godbless Lema kupitia mtandao wa X.
Soma zaidi:
Pre GE2025 - John Heche kumuunga mkono Lissu asema Lissu ni mkweli, muwazi na muadilifu sana
== Mhe John Heche anasema yeye waziwazi anamuunga mkono Mhe Tundu Lissu kwa sababu ni mtu mkweli sana ni muadilifu sana na anachukia rushwa kwa moyo na nguvu zake zote. Mhe John Heche ilitarajiwa na wengi kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa lakini baada ya Mhe Tundu...